Pre GE2025 Korogwe: Sasa ni Rasmi CCM yafutwa Mkoa wa Tanga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
A
Umeanza kuwehuka😂😂😂😂
 
Huko "nje ya CCM" na kwenyewe sasa kunatia shaka sana.

Katika hali ya kawaida, hii CCM ya 'Chura Kiziwi" ingekuwa ni kama kumsukuma mlevi tu; lakini hali haionyeshi kuwa ya kawaida hata huko nje.
Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi !!
Ila kwa kweli ilishasemwa zamani kwamba huwezi kutumikia mabwana wawili 🙄🙌

Fedha Fedheha 😳😳🤦🏽‍♂️
 
CCM ninayo ifahamu Mimi haijawahi kushindwa tangu dunia iumbwe. 😃😃😃
 
Hawa ndio watu wote wa Korogwe?
 
Viva Chadema
 
Niko Chadema na wewe unajua hiyo sentensi yako ya Pili haipo na haijawahi kuwepo
 
Niko Chadema na wewe unajua hiyo sentensi yako ya Pili haipo na haijawahi kuwepo
Ni vema/sahihi "Kujisahihisha" kungali mapema kidogo. Sintofahamu ndani ya chama wakati 'critical' kama huu hakuleti matumaini.
Unajuwa! Ukiwa "ndani" wakati mwingine unakosa kuona baadhi ya ishara muhimu zinazo onekana ukiwa nje.
Unajuwa wazi kuwa siyo wote walio nje ni wasambaza sumu.
 
Tofautisha kati ya wilaya ya Korogwe na Wilaya ya Tanga,ambayo ni jiji,Wilaya ya Tanga,nitofauti na wilaya ya Korogwe,wilaya zote mbili ziko mkoa wa Tanga.Wengi gawajui kama kuna wilaya ya Tanga,na mkoa wa Tanga.Wilaya ya Tanga,ambayo ni jiji,ndio ngome ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…