Korogwe, Tanga: Waliomburuza Jamaa Kwenye Bodaboda Mpaka Kumuua Wakamatwa

Kuua na kuiba bodaboda ndo roho laini?

Hapo ni roho ngumu kwa roho ngumu zimekutana
 
Bome-e anasema keshavamiwa ila ana utu!! Kwa mwizi au jambazi, sina ubinadamu nao, kinachowagharimu hawa ni kujirekodi tu, mengine wapo fair kabisa! Malipo ni hapa hapa!!

Unadhani jitu kama likuulia familia, linakujeruhi na linaondoka na mali zako. Unahangaika na polisi linakamatwa linatoa rushwa linarudi mtaani halafu linakuja kuku-threat tena!! Halafu nimuhubirie ubinadamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukiona unaweza kufanya hayo basi wewe ni mnyama!Sina moyo wa hivyo aisee,siwezi kufanya kitu kama hicho!
Tofauti yangu na wewe ndiyo hiyo,siwezi kufanya hivyo!Namuomba Mungu aendelee kunipa moyo nilionao!
 
mwaka fulani nikiwa ninasoma shule ya Korogwe girls,vijana walifanya tukio kama hili na walimpitisha huyo mwizi kwenye barabarana ya lami,karibu kabisa na shule.Hakika walisababisha taharuki sana kwa wanafunzi.
 

kiasili kila mtu ana moyo wa aina yake.

ukiona simba wa kufungwa kamuua mfugaji,sio sababu msosi umechelewa,sababu ndio asili yake kula viumbe wenzie.
ng'ombe hawezi kukuuma na kula nyama yako hata awe na njaa kiasi gani!!

hao vijana ni makatili tu,huwenda ni vibaka wabaya zaidi yake ila wameshindwa pa kuanzia.
 

ukiona jambazi anaanza kwa kujeruhi au kuua.
1,mwenye mali kaonyesha nia ya kupambana naye.
2,wanajuana na mwenye malia kabla ya tukio hilo.

mwanza,arusha,mbeya ndio mikoa yenye historia za ajabu ajabu kuhusu ujambazi,unakuta mtu ana maisha yake ila ana code chafu kabisa gizani.jambazi hufocus kwenye target tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…