PreGE2025 Korogwe wazindua kilimo mbadala Tarafa ya Bungu kuunga mkono jitihada za Rais Samia

PreGE2025 Korogwe wazindua kilimo mbadala Tarafa ya Bungu kuunga mkono jitihada za Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Afisa Tarafa wa kata ya Bungu Wilayani Korogwe Ndugu Peter Kahindi amefanya uzinduzi wa kilimo mbadala spices yaani viungo, karafuu, iriki ,mdalasini Tangawizi na nk.

Akizungumza na waandishi wa Habari Peter Kihindi katika uzinduzi huo amesema lengo la kuzindua kilimo hicho ni kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuinua wigo wa kipato cha Wananchi wengi kutoka Nchini Tanzania.

Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze

Aidha uzinduzi huo umefanyika ikiwa kama sehemu ya maonesho ya bidhaa hizo kwa wadau na wafanyabiashara mbalimbali wa Kilimo ili kusongeza huduma kwa wakulima kama mbolea,viwatilifu,mbegu za mahindi mboga mboga.

 
Back
Top Bottom