Korosho hii ni kwa wanaojua kusoma tu

Tutapambana Na Rushwa Na Wizi Serikalini Bila Kigugumizi Chochote, Dawa Ya Jipu Ni Kulitumbua
 
hivi wale wanunuzi wa zamani walikuwa wanauzia wapi kama sio Alibaba?
 
vijana wa afande mabeyo wameishiwa pumzi??? hahahaaaaaa, kweli kitu kama sio fani yako usikurupuke, biashara zina wenyewe, masikini wakulima wanaibiwa mchana kweupe na serikali ya 'wanyonge'
 
No wonder, tumekaa kimya mambo yamesongamana.Ila mjengoni baba mwenye nyumba anajikaza but lesson learned harudii tena.
Niko powa .... nakula bata tu mjengoni... nakula kwa niaba yenu wananchi...😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…