Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Duh 🤔
- Physics is not merely an empirical catalog of material phenomena; it is the systematic deciphering of the invariant ontological constraints governing the cosmos
Ni mfumo wa Kisheria,Kuna kitu kinaitwa Burden of Proof,Aliyekuta gari Nyumbani kwako sio hakimu,So lazima Hakimu athibitishiwe kwamba,Wewe ni wewe,Gari lilipotea,Gari lilikuwa na mmiliki mwingine,lilipokutwa ni nyumbani kwako,wewe ulilipeleka na ulifahamu kwamba lipo hapo.Kukana shtaka mbele ya Hakimu wakati gari zima limekutwa nyumbani kwako ni level nyingine kabisa ya ujasiri.
Mkuu,Kukana shtaka mbele ya Hakimu wakati gari zima limekutwa nyumbani kwako ni level nyingine kabisa ya ujasiri.
Gari limekutwa kwake.Kukana shtaka mbele ya Hakimu wakati gari zima limekutwa nyumbani kwako ni level nyingine kabisa ya ujasiri.
Hivi kwanini hatuna security camera kwenye majiji? MaJiji yakiwa na camera kila sehemu zenye uwezo wa kudaka identity kupitia sura tutapunguza sana uhalifu maana itabidi mtu ajipange kuziba sura kabla ya tukio na baada ya tukio atafute namna kuelekea uelekeo usio na camera kwa mafanikio.Mahakama ya Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam imewapandisha kizimbani washitakiwa saba, wakidaiwa kuiba magari mawili wakati yakipelekwa Bandari kavu ya Vingunguti.
Washitakiwa hao ni Isack Natus, Samson Mwamoto, Daniel Noah, Adam Sufian, Michael Marwa, Fadhil Munisi na Tusho Kalambire.
Washitakiwa hao walifikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Victoria Mwaikambo na walikana shitaka la wizi.
Wakili wa Serikali, Nicas Kihemba alidai washitakiwa hao waliiba magari mawili, likiwemo aina ya Nissan Caravan na lingine Toyota Regiusace yaliyokuwa yametolewa bandarini kwa ajili ya kupelekwa bandari kavu ya Vingunguti. Magari hayo yanadaiwa ni mali ya Sudais Logistic Company Limited.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, badala ya magari hayo kufikishwa katika bandari kavu yalipokuwa yakipelekwa, mwelekeo wake ulibadilishwa na kupelekwa Kigamboni.
Inadaiwa Agosti 12, mwaka huu katika opereshenI ya kudhibiti wizi wa magari na vifaa vinavyotolewa bandarini kwenda bandari kavu mbalimbali, iliwafikisha maofisa katika nyumba ya Michael ambako magari hayo mawili yalikutwa. Washitakiwa wote walikana mashitaka yao.
View attachment 3653574
Upo sahihi mkuu, ila huwezi kuokota gari.Gari limekutwa kwake.
Labda kanunua, au aliletewa na mtu amshikie au kaliokota.
So gari kukutwa ni swala moja na kuliiba ni swala jingine.
Kwa mara ya kwanza naona wakristo wengi kuliko Waislamu kwenye group la dili la kuiba!Mahakama ya Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam imewapandisha kizimbani washitakiwa saba, wakidaiwa kuiba magari mawili wakati yakipelekwa Bandari kavu ya Vingunguti.
Washitakiwa hao ni Isack Natus, Samson Mwamoto, Daniel Noah, Adam Sufian, Michael Marwa, Fadhil Munisi na Tusho Kalambire.
Wanasheria mnaokota magari sio..Gari limekutwa kwake.
Labda kanunua, au aliletewa na mtu amshikie au kaliokota.
So gari kukutwa ni swala moja na kuliiba ni swala jingine.
Mimi siyo mwanasheria ndugu mjumbeWanasheria mnaokota magari sio..
Serikali ya JPM iliokota magari bandariniUpo sahihi mkuu, ila huwezi kuokota gari.
Daah. Kweli. Hahaha. Kumbe inawezekana.Serikali ya JPM iliokota magari bandarini
Inawezekana mkurugenzi wa jiji la mwanza enzi hizo aliwahi kuokota viwanja eneo la lucheleleDaah. Kweli. Hahaha. Kumbe inawezekana.