LADDY PEPETA
Member
- Jan 18, 2012
- 26
- 7
Nikigundua yeye anaenenda kinyume na maumbile,lo!sitamsamehe kamwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wana jf kosa gani linaweza kukusababisha usimsamehe mpenzi wako kwaupande wangu mimi aki cheza mpira nje ndio sitoweza kumsamehe hata siku moja
Ndugu,
1. Akitoa pendo langu kwa mwingine
2. Akijaribu kuniloga kwa njia yoyote
3. Akijaribu kuniua au kuua watoto kwa njia yoyote
4. Akitukana wazazi wangu (Baba & Mama)
akikipigia kura kile chama cha kijana!wana jf kosa gani linaweza kukusababisha usimsamehe mpenzi wako kwaupande wangu mimi aki cheza mpira nje ndio sitoweza kumsamehe hata siku moja
wana jf kosa gani linaweza kukusababisha usimsamehe mpenzi wako kwaupande wangu mimi aki cheza mpira nje ndio sitoweza kumsamehe hata siku moja
mkuu namba 2 usiapize sana na sikushauri uache mke kwa hilo.Ndugu,
1. Akitoa pendo langu kwa mwingine
2. Akijaribu kuniloga kwa njia yoyote
3. Akijaribu kuniua au kuua watoto kwa njia yoyote
4. Akitukana wazazi wangu (Baba & Mama)
Nikigundua yeye anaenenda kinyume na maumbile,lo!sitamsamehe kamwe
Aliniachaga jikoni napika akaaga anaenda dukani kununua soda kumbe alienda kumdo bint mwingne! What a bastard!
subiri ukishamfumania au kuwa na uhakika ka-do nje ndo utakuja kutuambia kama utamsamehe au laI mean aki do nje kuna watoto humu bado hawa jalala mod ataipoteza post yangu