Kosa gani hutoweza kumsamehe mpenzi wako ?

Kosa gani hutoweza kumsamehe mpenzi wako ?

 
Last edited by a moderator:
:hat:hivi we jane unasoma darasa la ngap....coz kimaandish tu we nakusoma kwamba wewe n bwana mdogo af mapenz umeweka mbele sana jiangalie mdogo wangu.....utapotea.
Nipo chuo babu yangu naona unazidi kuwa mzee
 
Ndugu,

1. Akitoa pendo langu kwa mwingine
2. Akijaribu kuniloga kwa njia yoyote
3. Akijaribu kuniua au kuua watoto kwa njia yoyote
4. Akitukana wazazi wangu (Baba & Mama)
 
Akivunja amri za Mungu simpi msamaha
 
wana jf kosa gani linaweza kukusababisha usimsamehe mpenzi wako kwaupande wangu mimi aki cheza mpira nje ndio sitoweza kumsamehe hata siku moja


Jichinje mwenyewe...........wewe unadhani ukimkosea nini unastahili msamaha?
 
Ndugu,

1. Akitoa pendo langu kwa mwingine
2. Akijaribu kuniloga kwa njia yoyote
3. Akijaribu kuniua au kuua watoto kwa njia yoyote
4. Akitukana wazazi wangu (Baba & Mama)

Hommie nimekuelewa kabisa............hasa hapo no. 1 na 2 chezea mke mfanyabiashara!
 
nikigundua anawapa cm yake ya tigo au mtandao wowote
 
Aliniachaga jikoni napika akaaga anaenda dukani kununua soda kumbe alienda kumdo bint mwingne! What a bastard!
 
Kwa usafi gani ulio nao hata ushindwe kumsamehe MPENZI wako kosa lolote?????
 
Ndugu,

1. Akitoa pendo langu kwa mwingine
2. Akijaribu kuniloga kwa njia yoyote
3. Akijaribu kuniua au kuua watoto kwa njia yoyote
4. Akitukana wazazi wangu (Baba & Mama)
mkuu namba 2 usiapize sana na sikushauri uache mke kwa hilo.
 
Back
Top Bottom