Kosa gani hutoweza kumsamehe mpenzi wako ?

jane_000

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
547
Reaction score
43
wana jf kosa gani linaweza kukusababisha usimsamehe mpenzi wako kwaupande wangu mimi aki cheza mpira nje ndio sitoweza kumsamehe hata siku moja
 
Embu dadavua hapo, akicheza mpira gani nje? Football, basketball, akaenda kucheza ligi kuu ya uingereza labda. . .funguka jane000
 
ngoja nicheke kizungu.....ooooh dammmm, come on dude, hahahaaaaaaaaaaaa
 
I mean aki do nje kuna watoto humu bado hawa jalala mod ataipoteza post yangu
 
akiniomba attention waakati naangali mpira sitamsamehe
 
kongosho wewe ulinisakama sana umefikaa wapi?
 
sijawahi kerwa na Mpenzi wangu... atapoanza nikwaza ndo nitafahamu lipi la kusamehe na lipi sio..
 
Mla tigo na mliwa tigo, woote wawili hawatauona ufalme wa mungu. Ni maudhi makubwa mno kwa MUNGU, Kwa hili MUNGU anasema ole, kama ushawahi fanya au kufanyiwa tayari una laana duniani na mbinguni.
 
:hat:hivi we jane unasoma darasa la ngap....coz kimaandish tu we nakusoma kwamba wewe n bwana mdogo af mapenz umeweka mbele sana jiangalie mdogo wangu.....utapotea.
 
Mla tigo na mliwa tigo, woote wawili hawatauona ufalme wa mungu. Ni maudhi makubwa mno kwa MUNGU, Kwa hili MUNGU anasema ole, kama ushawahi fanya au kufanyiwa tayari una laana duniani na mbinguni.
Ok mkuu, umesikika.
 
Back
Top Bottom