mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 613
nikigundua tu ana mtu mwingine hatasameheka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenitisha ndugu yangu, mpaka hapo kishafunguka akiendeleza zaidi atawafungua macho makinda wanaovamia jukwaa @ jane_000 yap mechi za nje inatakiwa asisamehewe.Embu dadavua hapo, akicheza mpira gani nje? Football, basketball, akaenda kucheza ligi kuu ya uingereza labda. . .funguka jane000
Akitangazia kuwa ananichuna!!!wana jf kosa gani linaweza kukusababisha usimsamehe mpenzi wako kwaupande wangu mimi aki cheza mpira nje ndio sitoweza kumsamehe hata siku moja
akimega........ataongea na AK47akimegwa!
wana jf kosa gani linaweza kukusababisha usimsamehe mpenzi wako kwaupande wangu mimi aki cheza mpira nje ndio sitoweza kumsamehe hata siku moja
Embu dadavua hapo, akicheza mpira gani nje? Football, basketball, akaenda kucheza ligi kuu ya uingereza labda. . .funguka jane000
Akinipiga hata kibao kimoja.[/QU mh wewe ndo umechemsha kofi? bs kwa harakaharak we co mvumilivu,cjui km utaimudu ndoa,bs 2seme we ni keki! Huguswi.hngr kw hlo.