Kosa gani kijana wa Kiume au Kike hatakiwi kulifanya? Toa ushauri

Kosa gani kijana wa Kiume au Kike hatakiwi kulifanya? Toa ushauri

Wakuu tushauriane hapa.

Kama Mwanaume , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Mvulana Asirudie.

Kama mwanamke , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Msichana Asirudie.
Kila mtu aliyefanikiwa aliwahi kushikiwa mkono na watu waliofanikiwa "kuishi na watu vizuri ni silaha muhimu

2.kuwa na kiasi kujitoa kusizidi kipimo
 
Wakuu tushauriane hapa.

Kama Mwanaume , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Mvulana Asirudie.

Kama mwanamke , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Msichana Asirudie.
Mbona kichwa cha habari hakiendani na ulichokiandika ndani?
 
Kwa mwanaume : kamwe usiamini wanawake isipokua tuu mwanamke kubeba tumboni na kuzaa basi

Kwa wanawake : Kamwe usitumie dawa za uzazi wa mpango kiholela kuhalalisha udangaji wako kumbukeni baadae mtakuja kuhitaji watoto na mtawakosa
Hapa umenipa mada ya kujadili , ahsante
 
Back
Top Bottom