Kosa gani kijana wa Kiume au Kike hatakiwi kulifanya? Toa ushauri

Kosa gani kijana wa Kiume au Kike hatakiwi kulifanya? Toa ushauri

Stay on top of your credit...don’t co sign for anyone not even your mama...!
 
Wakuu tushauriane hapa.

Kama Mwanaume , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Mvulana Asirudie.

Kama mwanamke , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Msichana Asirudie.
Forcing , kulazimisha mtu akupende in hopes kwamba mapenzi yako yatambadilisha moyo

It will never happen, usije kufanya hilo kosa la kupoteza muda
 
Nimefanya mistakes Nyingi wakati nakua.
Lakini makubwa ni Kutowasikiliza Wazazi,kutumia mihadarati na Pombe.
Kushiriki ngono na watu walionizidi umri!
Kijana usirudie haya makosa.
Yananicost mpaka Leo hii.
 
Forcing , kulazimisha mtu akupende in hopes kwamba mapenzi yako yatambadilisha moyo

It will never happen, usije kufanya hilo kosa la kupoteza muda
Hili mkuu nmeliona wazi hayo mambo ya mapenz hayana haraka hujaga vzuri automatically.
 
1. Usishindane na mtu, fanya kwa level yako.
2. Usishindane na Pombe ili uonekane unajua kunywa sana itakudhalilisha.
3. Usipige picha na pesa ukatamba nazo, ooohoooo usiseme hukuaambiwa.
4. Usishindane na mapenzi kama hakupendi na hakutaki jifunze kukubali uhalisia kabla hayakugharimu.
5. Kijana wa kiume usishindane na mwanamke pendedjee atamuonga noah.
6. Kamwe usije ukawadharau na kuwasema vibaya wazazi wako. Kuna mengi huyajua mpaka utakapokuja kuwa mzazi ndio utayajua.
7. Tafuta hela uishi maisha yanayofaa kama sio unayoyataka.
8. Ukipata usione waliokosa ni wazembe, ukiweza kusaidia mtu fanya hivyo hasa kwa wahitaji.
 
Back
Top Bottom