Kosa gani kijana wa Kiume au Kike hatakiwi kulifanya? Toa ushauri

Kosa gani kijana wa Kiume au Kike hatakiwi kulifanya? Toa ushauri

Kuj
Wakuu tushauriane hapa.

Kama Mwanaume , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Mvulana Asirudie.

Kama mwanamke , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Msichana Asirudie.
Kushabikia CCM kujitoa ufahamu na kuwa chawa wa Viongozi, na kutetea kundi linaloiba rasilimali za inchi
 
Back
Top Bottom