1. Usishindane na mtu, fanya kwa level yako.
2. Usishindane na Pombe ili uonekane unajua kunywa sana itakudhalilisha.
3. Usipige picha na pesa ukatamba nazo, ooohoooo usiseme hukuaambiwa.
4. Usishindane na mapenzi kama hakupendi na hakutaki jifunze kukubali uhalisia kabla hayakugharimu.
5. Kijana wa kiume usishindane na mwanamke pendedjee atamuonga noah.
6. Kamwe usije ukawadharau na kuwasema vibaya wazazi wako. Kuna mengi huyajua mpaka utakapokuja kuwa mzazi ndio utayajua.
7. Tafuta hela uishi maisha yanayofaa kama sio unayoyataka.
8. Ukipata usione waliokosa ni wazembe, ukiweza kusaidia mtu fanya hivyo hasa kwa wahitaji.