Kosa gani la kifedha au kiuchumi ulilifanya ukajutia?

Kosa gani la kifedha au kiuchumi ulilifanya ukajutia?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Iwe ni uwekezaji, kununua kitu, matumizi mbalimbali ya fedha n.k ambapo ulifanya na baadaye ukaona hauna faida au ukakusababishia matatizo.

Tuelezee kwa kina tujifunze ili tusirudie makosa ya wengine.

hela.jpg
 
Kuwanunulia Pombe wanawake wa CCM kwenye kampeni.
Aisee ile mijimama inakunywa pombe haielewi, kitachoumia ni pesa yako/salio lako/balance yako.
Nimecheka sana, kwahiyo umeacha kuwanunulia wanawake pombe au bado?
 
Kaka...unadhani ingekuwa sahihi kama ungefanyia nin?

Wengine ndio tuko kwenye mchakato wa kuchukua mkopo ili kujaribu kujenga kibanda cha kujihifadhi
Mkopo wa kuanza kujenga ni pesa ndefu itakugharimu sana unless uchukue wa kumalizia nyumba ,miaka 3 kushuka chini ila unachukua pesa ndefu kwa miaka 5 na kuendelea utajuta ...Kuchukua kumalizia nyumba angalau umeshaanza .
 
Back
Top Bottom