Kuwekeza kwa wanawake sio kosa wewePombe
Wanawake
Kamari
Kuwekeza kwa wanawake sio kosa wewePombe
Wanawake
Kamari
Warembo ninstarehe sasa unataka hela uipeleke wapiDaah warembo warembo!!
KAZI ni kipimo cha utu
OkayPombe
Wanawake
Kamari
Kutoka na shangingi, ile kenge ilikuwa inajua kutumia hela sijawahi ona. Hakika ilijua kudrain bank accountIwe ni uwekezaji, kununua kitu, matumizi mbalimbali ya fedha n.k ambapo ulifanya na baadaye ukaona hauna faida au ukakusababishia matatizo.
Tuelezee kwa kina tujifunze ili tusirudie makosa ya wengine.
View attachment 3317403
ndio nina mkopo wa milioni 80 na bado hiyo nyumba nayojenga sasa hivi haijaisha ila hela imeisha, yaani presha na kisukari huwa vinakutana katikati ya kitovu.Ulianza ujenzi au ?
Mil80 unashindaje kumaliza nyumba na chenji kubakindio nina mkopo wa milioni 80 na bado hiyo nyumba nayojenga sasa hivi haijaisha ila hela imeisha, yaani presha na kisukari huwa vinakutana katikati ya kitovu.
Ilikuwaje....una upaja sexyMa-Dj wa hizi Club au Bar wanatumalizia sana pesa zetu akina dada.
Yalinikuta na kila nikikumbuka nalia sana.
Hapo lazima upate tabu Mzee maana kuna jamaa yangu ,yeye alichukua mil 60 ..Sasa kuna fundi yuko kule insta ,jina kapuni alimdanganya kuna gorofa ya milion 120 ..Tumebishana sana ..Jamaa mpaka sasa na pesa zake katumbukiza hiyo mil 120 🤣🤣🤣nyumba haijaisha kwa ndani hata tiles hakuna ,kaweka milango wa mbele na nyuma na madirisha ya chuma ,bado pvc za aluminum ...Makadirio tena lazima aongeza kama mil 40 mpaka 50 ndio anaweza kuhamia .. Kujidanganya kaanza na fensi .ndio nina mkopo wa milioni 80 na bado hiyo nyumba nayojenga sasa hivi haijaisha ila hela imeisha, yaani presha na kisukari huwa vinakutana katikati ya kitovu.
Mara ya mwisho kujenga ni lin?Mil80 unashindaje kumaliza nyumba na chenji kubaki
Haya mambo yasikie kwa jirani ni hatari mnoHapo lazima upate tabu Mzee maana kuna jamaa yangu ,yeye alichukua mil 60 ..Sasa kuna fundi yuko kule insta ,jina kapuni alimdanganya kuna gorofa ya milion 120 ..Tumebishana sana ..Jamaa mpaka sasa na pesa zake katumbukiza hiyo mil 120 🤣🤣🤣nyumba haijaisha kwa ndani hata tiles hakuna ,kaweka milango wa mbele na nyuma na madirisha ya chuma ,bado pvc za aluminum ...Makadirio tena lazima aongeza kama mil 40 mpaka 50 ndio anaweza kuhamia .. Kujidanganya kaanza na fensi .
Yule fundi anapenda sifa kudanganya watu ,yuko Instagram....Mkopo una miaka miwili mbele ila nyumba hawezi kukaa...Haifai kabisa ni bomba.
Mikopo zaidi ya miaka 3 ni kujizika ..Utaona hata kazini unaenda bure .Haya mambo yasikie kwa jirani ni hatari mno
Mshangazi hivyo ni vidole vyako?Cc.
To yeye , makutupora , Tajiri Sina BAYA , Lamomy , secretarybird , mzabzab , Aaliyyah
*******
Mpwa, umeamka na shilingi ngapi mfukoni?
Nomadix
View attachment 3317415
AsanteIlikuwaje....una upaja sexy
chIwe ni uwekezaji, kununua kitu, matumizi mbalimbali ya fedha n.k ambapo ulifanya na baadaye ukaona hauna faida au ukakusababishia matatizo.
Tuelezee kwa kina tujifunze ili tusirudie makosa ya wengine.
View attachment 3317403
Sass na wewe ulikuwa unapata mshenyeto toka kwa djAsante
Kuna Dj wa Club flani maarufu alikuwa anadate na rafiki yangu.
Rafiki yangu alikuwa anatembea na pesa nyingi ili aweze kumnunulia bia na chakula yule bwana ake ambae ni Dj pamoja na rafiki zake.
Huyo Dj hakuwa na mwanamke mmoja.
Alikuwa anawapanga sana.