Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Ahsante Mkuu AfricaUnited unafikiri hata kuna vya maana nilifanyia. Mtu ukiwa na matumizi mabaya hata uwe na kiasi gani ni yaleyale. Ila mwenye matumizi mazuri 10m inatosha kufanya kitu na ikaongezeka.Pole ulitumiaje yote hio?
Natoa kwa watu wenye uhitaji nilikuwa, pia nikitoka natoka na kiasi kikubwa so unakuta unanunua vitu hukupangia. Nikaja kuta nimetumia hiyo, hapo ndiyo akili ikaingia. Sasa hivi sitoi, niko makini kiasi chake. My Daddy ameniambia ni kiasi kikubwa sana kwa muda mchache kutumia. Now nimetuliza ball.