Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Kwann mkuu?me nampango huo embu nishauri.Kuchukua mkopo alafu ukajengea ni uamuzi ambao wa hovyo sana kwangu
Nimecheka sana, kwahiyo umeacha kuwanunulia wanawake pombe au bado?Kuwanunulia Pombe wanawake wa CCM kwenye kampeni.
Aisee ile mijimama inakunywa pombe haielewi, kitachoumia ni pesa yako/salio lako/balance yako.
Sehemu ikiwa na chumvi ndiyo inakuwaje, madhara ni nini, huwezi kujenga?Nilinunua kiwanja kumbe hiyo sehem Ina chumvi mvua ikinyesha ....... Siwez malizia maana naweza piga ngoro
Kwanini umejutia? tuelezee kidogoKuchukua mkopo alafu ukajengea ni uamuzi ambao wa hovyo sana kwangu
Kaka...unadhani ingekuwa sahihi kama ungefanyia nin?Kuchukua mkopo alafu ukajengea ni uamuzi ambao wa hovyo sana kwangu
Haya basi itakua umejifunza.Kuuong. Muhudumu wa bar kisha baadae akanikimbia
Mkopo wa kuanza kujenga ni pesa ndefu itakugharimu sana unless uchukue wa kumalizia nyumba ,miaka 3 kushuka chini ila unachukua pesa ndefu kwa miaka 5 na kuendelea utajuta ...Kuchukua kumalizia nyumba angalau umeshaanza .Kaka...unadhani ingekuwa sahihi kama ungefanyia nin?
Wengine ndio tuko kwenye mchakato wa kuchukua mkopo ili kujaribu kujenga kibanda cha kujihifadhi
Ulianza ujenzi au ?Kuchukua mkopo kujengea hilo jambo ni upuuzi