Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Happy mother's day!!!
Shkamooni akina MAMA wote mliopo JF tunawapenda sana,
leo kwa kuenzi siku ya kina mama duniani napenda tukumbuke mambo mawili matatu ambayo yashawah kutokd huko nyuma enzi tunakua na kulelewa na mama zetu...embu sema ni kosa au kitu gani ulifanya mpaka ikapelekea mama yako,mlezi au mzazi akakuchapa ama kukuadhibu au ulimkasirisha??
mi nakumbuka nimefanya mambo meng sana..ya makosa mara nyngne nliadhbiwa na mama mfano.nishawai kutoroka nyumbani na kwenda kwenye sherehe,kwa watu kula chakula..nikawa naingia hadi kweny makombo ya vyakula vilivyobakishw na watu,ase mama yangu akapata taarifa nivofika home mbna nilikoma kwa kipigo ase...nkaambiwa wew nyumban huli wali?? sikuwa na lakusema,ila chapo iliningia ase.
[HASHTAG]#nakupendasanamamayangu[/HASHTAG]