mwamba c
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 690
- 2,362
Aisee makosa nlifanya meng na kichapo nlipewa sana...Nilienda kuoga mtoni nkachelewa kurud hom nlkula kibano,nyngine nlikutwa nkikula papuchi kwenye mahindi shambani nlichezea mkong'oto wa kutosha,nyingne nlimpiga mshikaj wangu kwenye dushee teke na alkua ametoka jando siku c nyng aisee nlichezea kichapo balaa