Wengi. Aisee nimekula bakora na vibao sanaaaa,Team makombo kumbe tupo kibao
Tatizo siijui hasa maana ya hiyo salamu ni ipi..Hahah we,ulikuwa jeuri.
Tatizo hiyo salamu haina maana yeyote,Kiburi wewe!
Tatizo siijui hasa maana ya hiyo salamu ni ipi..Hahah we,ulikuwa jeuri.
Hah mkuu,wew ulikuw kauz bhas balaa.Nilimtupia mfanyakaz mawe nikamwambia hapa sio kwenu
na alikukataza au kukuonya kuwa usifanye ivo? ulioa na miaka ngapi mkuu?Kosa la kuoa angali mapema limefanye achukie hadi leo
Asee mimi nilipotezaga hela ming kam buku,ivi na nilitoka kupeleka maziwa..sasa narudi hme naulizwa hela iko wap nangalia mfukoni sioni,mama alinidunda sana ase ile nakimbia akanidaka tena mwanzo mwish nichezea mwanzi nlililia san ase.Niliwahi kuiba pesa za mama na kwenda kununua maandazi, siku alipogundua nilichezea kichapo kilichopelekea kuchukia wizi. Mama yangu alinipa funzo kubwa maishani mwangu hadi leo.
Nakupenda sana mama yangu.
Naishi mbali nae nilimpa tuu taarifa nina mtu na mtoto alimind sana. Niko 27na alikukataza au kukuonya kuwa usifanye ivo? ulioa na miaka ngapi mkuu?
ko we ulikuwa unapenda kuwasalmia vp brothers?Tatizo siijui hasa maana ya hiyo salamu ni ipi..
Asee...ila mwish w siku si inabidi uend,akaione familia ako je?Naishi mbali nae nilimpa tuu taarifa nina mtu na mtoto alimind sana. Niko 27
Bado saanaAsee...ila mwish w siku si inabidi uend,akaione familia ako je?
Salamu zozote tu ila sio kuamkianako we ulikuwa unapenda kuwasalmia vp brothers?