Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Yani imefanana na stry yangu.mm yangu ni hivi.Kwa kweli Mimi sikumbuki kama niliwahi chapwa na Mama kwa sababu ni mpole mno.
Kweli nilikuwa nafanya makosa lakini alikuwa akinisamehe.
Ila kina mama ni watu wa kipekee sana.
Kuna siku moja mama alinituma nikawashe moto kwenye jiko la kuni yeye alikuwa akimenya viazi.
Sasa nilipofika jikoni nikakuta moto kidogo, nikachukua kuni nikaweka jikoni nikaanza kupuliza ili moto uwake sasa kila nilipopuliza moto haukuwaka badala yake ni moshi tu ndo ulitawala.
Moshi uliniwasha machoni hadi michozi ikanitoka, kwa kweli hasira zikanishika nikachukua zile kuni nikazivurumisha kwenye majivu pale jikoni, nikaenda nje nikachukua michanga nikaja kufukia pale jikoni kabisa hadi moto wote ukazimika.
Nikaenda kukaa nyuma ya nyumba huku nikilia macho yamenivimba hatari.
Mama akaanza kuita sikuitika, alipoenda jikoni alichokiona huko ilibidi aniite tena kwa hasira na hapo nikaitika ila sauti ilionyesha nilikuwa nalia.
Basi akaja kule nyuma, kakasirika kweli kweli lakini aliponikuta na hali ile hasira zikamuisha ghafla na kuanza kunibembeleza ninyamaze. Nilipotulia nikamueleza kilichotokea.
Doh!
Sikuwa kumuona mama akicheka kama siku hiyo.
Hadi leo hua akikumbuka hilo ananicheka sana.
Hili ni tukioa ambalo kamwe sitalisahau.
Dooh! Eti nilipona hapohapoYani imefanana na stry yangu.mm yangu ni hivi.
Dada wa kazi alikua ameteleka mafuta ili akaange samaki,akasema niangalizie mm naenda ndan mara moja,nkamwambia ok,mda ukawa unaenda huku mafuta yanazid kupata moto.
Nikajitia kiherehere nkachukua samaki nakuanza kuwatia ndani ya mafuta,weee moto ai uwake lile karai lote vile vishikilio vya mbao vilivunjika yaani.
Nkaanza kupiga kelele dada kuja akawa anahangaika kutupia mchanga ili moto uzimike,nkasema leo ntapigwa mm,leo ntauliwa mm karai lishaungua,hofu ilinizid.
Mpk nkapata homa ya ghafla kwa kuogopa mama akirud leo ni kichapo tu.nkawa nmelala kitandan homa full[emoji16][emoji23].
jioni mama anarud anasema yuko wapi huyu,dada akasema anaumwa yupo ndani ,mama akaja mbio ndani,waswas umemjaa anauliza maswal mara mbil mbil kua ninaumwa na nn mara anishike shingo apime joto la mwili basi ilimradi tu[emoji23]hapo macho yamenivimba kwa kulia na homa full,kichwa kinauma hatar.
Dada wa kaz akaanza kumuhadithia A to Z mama akaanza kucheka mbavu hana [emoji23][emoji23]kwaio unaogopa mm kukupiga kisa kuunguza karai tu,[emoji23]haya nyanyuka ule panadol,si ulikua unajifunza kupika ntaanzaje kukupiga,yani nlipata nafuu ghalfla na nlipona hapohapo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji28]Nlijipata napata nguv ghafla nlisahau kama ndie mimi nmetoka kuumwa dakika chache kablaDooh! Eti nilipona hapohapo
doh! Pole sana.![emoji1][emoji28]Nlijipata napata nguv ghafla nlisahau kama ndie mimi nmetoka kuumwa dakika chache kabla
hahahahahah,umemsumbua sana mama mkuu...ulale,wew afu usitandike kitanda ase.
Ilikuwa ni nyama bila,shaka iyo mkuu..je?Nilikuwa mwizi wa mboga nakumbuka aliniadhibu mara moja.
Hahah,kweli ase iyo weng san tmechapw kw style hyo.mambo ya mpira uko na michez,kuach njian ukiitw hasa ukiwa unaplay karbu na hme ni kero ukskia unaitw.Alinituma chumvi dukani siunajua michezo niliporudi kifika mlangoni nikamtupia nikageuka nakimbia kuwai kucheza mpira akaniita wakati naondoka nikazani napewa zawadi nilipewa kifinyo hatariiiii..... Hata mpira sikwenda kucheza
Amin.pole sana mkuuMiss so much Mama pumzika kwa aman Mama angu Mbele Yako Yuma yetu
Yani imefanana na stry yangu.mm yangu ni hivi.
Dada wa kazi alikua ameteleka mafuta ili akaange samaki,akasema niangalizie mm naenda ndan mara moja,nkamwambia ok,mda ukawa unaenda huku mafuta yanazid kupata moto.
Nikajitia kiherehere nkachukua samaki nakuanza kuwatia ndani ya mafuta,weee moto ai uwake lile karai lote vile vishikilio vya mbao vilivunjika yaani.
Nkaanza kupiga kelele dada kuja akawa anahangaika kutupia mchanga ili moto uzimike,nkasema leo ntapigwa mm,leo ntauliwa mm karai lishaungua,hofu ilinizid.
Mpk nkapata homa ya ghafla kwa kuogopa mama akirud leo ni kichapo tu.nkawa nmelala kitandan homa full[emoji16][emoji23].
jioni mama anarud anasema yuko wapi huyu,dada akasema anaumwa yupo ndani ,mama akaja mbio ndani,waswas umemjaa anauliza maswal mara mbil mbil kua ninaumwa na nn mara anishike shingo apime joto la mwili basi ilimradi tu[emoji23]hapo macho yamenivimba kwa kulia na homa full,kichwa kinauma hatarHah ulijiadhibu.
Hahah safi san,mambo ya kuoga ayo ase afu ukute ni ya barid maji,apo lazma tkimbizane t na mama.Mimi nilikuwa sipendi kuoga kabisa, sasa ikifika muda natakiwa kuoga ilikuwa tunakimbizana na Dada mtaa mzima so mama alikuwa ananilisha bakora za kutosha
hah,aya bna.Salamu zozote tu ila sio kuamkiana
Kwel ase inakuaga ivo,mar zote.Ilikuja automatic kutokana na woga