Justine kazungu
Member
- Apr 28, 2017
- 36
- 7
Hahah sasa ulchkua za nin mr?Nilichukua Risasi za mzee alinichapaaa aisee sito sahau
doh hatar iyo,so mama alikuwa akikshush kipgo tu ase.Aiseee mi nimezichezea mnooo... makosa daily.. mara nimechokoza mbwa ... mara tumechangia mtoto wa jirani tukampa kisago... mara nimekutwa nachezea moto kupika pika.. mradi nilikua naharibu balaa..
Yaani almost kila leo... nilizidi jamani... chaaa..mara anikute na wenzangu tumedandia pick up.. na alikua hakopeshi yaani navutwa ndani napewa zangu.doh hatar iyo,so mama alikuwa akikshush kipgo tu ase.
Hahhahaha umenikumbusha nilimshawishi pacha wangu kuiba khanga za bimkubwa tuende maulidini... mbona tulifurahia shoo alivyorudi maana alisafiri... !!!Nakumbuka Kuna siku Mama aliondoka kwenda kwenye Sherehe zile za ucku Banah,Ila wakati anaondoka aliniachia maagizo kuwa usiondoke ubaki na ulale na mdogo wako,usije mwacha alale peke yake,
Apo tayari nilishamuomba kwenda kwenye Maurid Ya chuoni kwetu (Madrasa),Akagoma"Hakuna kwenda kokote Ubaki na Mdogo wako" Dooh!!! Nikawaza nikasema Leo Nalikosa lile pilau,Aitokuja tokea..
Basi Banah! Nikasubiri aondoke,Alivyomalizia Tuh Nikaingia ndani nakuvaa vazi langu la Kimadrasa,Nikampanga dogo Wewe Leo utaenda kulala kwa jirani Sawa ,dogo akaitikia kwa shingo upande,Nami Nikajua naweza Wahi rudi Bi Mdash atoshtukia ..
Mauridi Yakaisha Usiku sana, Ikabidi tulale chuo(Madrasa),Asubuh yake ndo turudi Home
We!! Nililala uku nakiwaza kipigo,Sababu Bi Mkubwa alikuwa akikuambia jambo Alafu ukufatisha ana Maneno ye Bakoraaa Tuh..
Nikarudi Asubuh Nyumbani Namkuta Mama Kalala Mlangoni fimbo Pembeni..Nilivyomsalimia Tuh Kilichofata Sitosahau Mpka leo ...Nilipigika Mpka Nikachukia Kurudi Tena Chuo(Madrasa), Lol!!!! Love U Maaa
Pole, bado unavutaNilikua nakula fegi kwenye nyumba ya jirani ambayo haijaisha.. nlikula kisago.
nilikuwa sijitambui. sasa ntakumbukaje.ukiwa mtoto,kipind hujitambui ilikuaje aukuwa ukimuudh mama?
Ooghonilikuwa sijitambui. sasa ntakumbukaje.
Ulikuwa unadekaa kumbeee enzi haa haaa mie Bi mkubwa wala asingekukopesha huko huko migombani angekufirigisa na bakora za kutosha na mshua akirudi anamalizia na risala nzito juu ya kitendo chako huku akimpa Bi mkubwa Big up ya nguvuMama yangu ni mpole sanaaa! Ata kumfanyia kosa utaona aibu. Ila kuna siku aliniudhi nikamnunia... Nikaenda kwenye migomba na kukaa huko mpaka giza likaingia. Baba aliporudi mama akanisemelea eti nimemnunia sababu amenisema (ata sikumbuki alinisema nini)... Baba akaja kunisema zaidi. [emoji1][emoji1] eti kwa nini unamliza mama yako? Akanitaka nikaombe msamaha. Nikaenda kishingo upande na kweli nikamkuta mama macho mekunduu huku anajishughulisha jikoni. Akawa hanitumi kumsaidia chochote... Nikapiga magoti kumuomba msamaha, na kujiliza juu ndo akarudi katika hali ya kawaida.
Hahaha! Mama alikua anaumia sana ukimnunia.Ulikuwa unadekaa kumbeee enzi haa haaa mie Bi mkubwa wala asingekukopesha huko huko migombani angekufirigisa na bakora za kutosha na mshua akirudi anamalizia na risala nzito juu ya kitendo chako huku akimpa Bi mkubwa Big up ya nguvu
Umemuonea sana mama kumbee, zamu yako inakuja sasa ya yeye kukuoneaHahaha! Mama alikua anaumia sana ukimnunia.
[emoji3][emoji3][emoji3]Umemuonea sana mama kumbee, zamu yako inakuja sasa ya yeye kukuonea