Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari,
Ukisikiliza nyimbo nyingi za Injili, ukisikiliza maombi ya wakristo wengi au ukisikiliza ibada za shukrani hukosi kusikia neno "Sikustahili."
Mtu kapata division one anatoa sadaka huku akilia anasema hakustahili, akiolewa, akioa, akinunua hata pikipiki au gari used mtu husema hakustahili.
Huu ni utoto wa Kiroho. Mkristo anastahili mambo hayo yote na zaidi maana ni mrithi wa milki za Mungu. Hebu tuache unyonge, tuache maombi na mentality ya kinyonge.
Siku wakristo wakiondoa unyonge mioyoni mwao watamiliki viwanda, vituo vya mafuta, kampuni n.k. lakini kwasababu ya unyonge wakristo wengi huishia kuajiriwa tu na kuwa watumishi wa mwingine.