Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sababu zingine ni zipi?Kuna sababu nyingi za umaskini wa wakristo, hiyo ni sehemu ndogo tu
Not that simple,bro,wakina Dangote,Mo,Diamond,Eron musk,Bill gate,hawakufika hapo just kwa kujiamini na kukalili vifungu vya biblia,Habari!
Ukisikiliza nyimbo nyingi za Injili, ukisikiliza maombi ya wakristo wengi au ukisikiliza ibada za shukrani hukosi kusikia neno "SIKUSTAHILI" .
Mtu kapata division one anatoa sadaka huku akilia anasema hakustahili, akiolewa, akioa, akinunua hata pikipiki au gari used mtu husema hakustahili.
Huu ni utoto wa Kiroho.
Mkristo anastahili mambo hayo yote na zaidi maana ni mrithi wa milki za Mungu.
Hebu tuache unyonge, tuache maombi na mentality ya kinyonge.
Siku wakristo wakiondoa unyonge mioyoni mwao watamiliki viwanda, vituo vya mafuta, kampuni n.k.
Lakini kwasababu ya unyonge wakristo wengi huishia kuajiriwa tu na kuwa watumishi wa mwingine.
View attachment 2531320View attachment 2531321
Ni ujinga tu wa Kiroho , wala haihusiani.Umeongea fact,japo wengi wanadai Ni njia ya kujinyenyekeza mbele za muumba na hapa mstari unaotumiwa Ni ule wa ajikwezaye hushushwa
Mtoa mada ni mkristo kama wewe ila we moja kwa moja umekuja kushambulia uislamu.Kwahiyo tumehama Sasa siyo Watanzania maskini, Bali Wakristo maskini.
Hizi ni akili za kijinga kama za Mzee wetu Mohammed Said.
Hapa duniani mataifa yanayotambulika ni ya kikiristo ndio yana maendeleo, waislamu na wakimbizi wote dunia nzima wanakimbilia mataifa ya kikristo, huwezi kusikia waislamu wmekimbilia Saudi Arabia kuomba ukimbizi, Bali ukimbilia Ulaya, Australia na Marekani.
Uko sahihi ila uko nje ya contentNot that simple,bro,wakina Dangote,Mo,Diamond,Eron musk,Bill gate,hawakufika hapo just kwa kujiamini na kukalili vifungu vya biblia,
Ukienda Dubai,maendeleo yake,hayakuja kwa kuwaza tu,na kujiaminisha kwamba wanastahili jema,watu wametumia mbongo alizowapa Mungu,wakapiga kazi,
Hata ukikesha unasoma bible kanisani,na ukaamini unastahili vitu vizuri,kama huna shughuri ya kiuchumi unafsnya,utaishia kuja kulala chini ya miti kwa mwamposa,wakati Mwamposa,anatumia sadaka yako kujenga hotel mbeya na kutengeneza ajira.
Vitu havitokei tu kwa kuamini,
Shughuri yako boda boda,mwingine anafanya kazi BOT,wote mnaamini mnastshili mazuri,wewe na boda yako unategemea siku moja umiliki vituo vya mafuta,kukijenga kimoja unahitaji milioni 50!sasa wewe na huyu jamaa wa BOT unafikiri nani ana nafasi nzuri ya kufikia ukwasi huo,
Ni sayansi tu,sio uchawi,
Weee ,Hata kitendo cha ww kutype hapa hukustahili....😂
Hata Mimi nastahiliWeee ,
Mimi nastahili, sio mjinga.
Kwa sababu huna akili kama mleta mada ndio sababu unaona nimeshambulia uislamu, wewe ni mjinga kama wajinga wengine.Mtoa mada ni mkristo kama wewe ila we moja kwa moja umekuja kushambulia uislamu.
AhahahahaHata Mimi nastahili
Kwa hiyo nimekuuliza unanitukana kwa hasira !Kwa sababu huna akili kama mleta mada ndio sababu unaona nimeshambulia uislamu, wewe ni mjinga kama wajinga wengine.
Ulitakiwa utowe fact Saudi Arabia Taifa la kiislamu na ndio kitovu cha uislamu kuna wakimbizi wanakimbilia huko? Si wakimbizi wote wanakimbilia ulaya
Huyu hana hoja ni mjinga mjinga Fulani tu asiyekuwa na exposure yoyote.
Lete orodha ya matajili 10 duniani tuone kama utaona mwislamu humo.
Dini ni mashirika ya kitapeli tu yaliyobaki kuwatapeli wajinga wengi wasiojielewa kama wewe na huyo mleta mada.
Kwanini unabadili mada badala ya kutetea hoja iliyopo mezani?Kwahiyo tumehama Sasa siyo Watanzania maskini, Bali Wakristo maskini.
Hizi ni akili za kijinga kama za Mzee wetu Mohammed Said.
Hapa duniani mataifa yanayotambulika ni ya kikiristo ndio yana maendeleo, waislamu na wakimbizi wote dunia nzima wanakimbilia mataifa ya kikristo, huwezi kusikia waislamu wamekimbilia Saudi Arabia kuomba ukimbizi, Bali ukimbilia Ulaya, Australia na Marekani.
Mmmh shikamoo mafuta na maji,utaishia kuja kulala chini ya miti kwa mwamposa, wakati Mwamposa, anatumia sadaka yako kujenga hotel mbeya na kutengeneza ajira