Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #21
Achana naye, nimeshaona kumbe hata suala la analogy hajui, sasa mtu kama huyo ushauri wangu kwake ni kwamba aende shule zaidiInaonekana wewe unamapungufu.
Anachozungumza mwenzio, ni Mr Bean kwa maana ya upuuzi wake. Katika upuuzi wake anasaidia watu kwa kipuuzipuuzi hivyo hivyo.
Akiwa Atikson( kama nimepatia jinalake halisi) hafanyi au kifikiri kama Mr Bean, huko kwongine.
Huna uwezo wa kuelewa fasihi ndogo niliyokuandikia, unachanganya mambo. Ukielewa kwamba muigizaji wa vichekesho sio Mr. Bean bali ni Mr. Rowan Atkinson, utakuwa umenielewa.unawekaje uhakika wa kupata msaada kwa mtu mpumbavu??
mr bean sio mpumbavu,ni muigizaji wa vichekesho.
kumbe tunajadili issue nzito na mtu anayeamini mr bean ni mpumbafu na si mwigizaji!!
hehehe!
imagine
Nyie wawili mna akili sawa - kidogo!Huna uwezo wa kuelewa fasihi ndogo niliyokuandikia, unachanganya mambo. Ukielewa kwamba muigizaji wa vichekesho sio Mr. Bean bali ni Mr. Rowan Atkinson, utakuwa umenielewa.
We need brand new platformKwa maslahi ya nani sasa? Hawa jamaa wa JF kuna wakati tutawaambia basi jibuni nyie thread zetu sasa, maana inaonekana mnajua tunachotakiwa ku-post. Hivi hawajatambua uzuri wa JF ni post zetu eeh?
jeshi gani??Nyie wawili mna akili sawa - kidogo!
Mlijiunga lini na geshi letu?
Polisi?jeshi gani??
Polisi wenyewe wabakaji au wewe haupo nchini hujasikia ya Tanga?anahangaika kuhalalisha kauli yake kwamba polisi ni wapumbavu.
akibakwa,breki ya kwanza kituoni,sijui kusalimia anakwenda???
Usisahau na Mtemi/Chifu wetu mkuu naye wakati anahojiwa na bibisii, alisema eti washirika wa mtuhumiwa mkuu walishakamatwa na kwa sasa wanatumikia vifungo vyao!Inshort hii kesi feki imepikwa na Ramadhani Kingai alafu sirro na boss wake wakajitwika msalaba bila kujua madhara yake ya baadaye.
Usisahau na Mtemi/Chifu wetu mkuu naye wakati anahojiwa na bibisii, alisema eti washirika wa mtuhumiwa mkuu walishakamatwa na kwa sasa wanatumikia vifungo vyao!Inshort hii kesi feki imepikwa na Ramadhani Kingai alafu sirro na boss wake wakajitwika msalaba bila kujua madhara yake ya baadaye.
Unamwonea Mkorinto😀Kama alifeli upadri upolisi atauweza?
Au Mkorinto siku hizi umeacha😅jeshi gani??
Unaenda Polisi kuripoti umebakwa, na wao wanakubaka tena! Jamani, nchi hii ngumu sana, sio vyuma tu hata Polisi wanakaza!!Polisi wenyewe wabakaji au wewe haupo nchini hujasikia ya Tanga?
haya maelezo ni ya kisheria au ni maoni yako?Mkuu, tatizo ni kwamba, usipoanza na shahidi mwenye impact kubwa na ukamweka shahidi mwenye impact kubwa kuja baadae umeshaharibu kila kitu, kwa kuwa shahidi mwenye impact kubwa itabidi atoe ushahidi unaolingana na shahidi wa kwamza hata kama ameboronga. La sivyo utakuwa na mashahidi ambao wanatofautiana na unapoteza kesi.
Kwa hiyo tukisha msikia shahidi wa kwanza na kuona ameboronga, basi tunajua huna kesi tena ya kushinda!
hapa unalazimisha awe amemaanisha unavyotaka wewe, msome tena.Inaonekana wewe unamapungufu.
Anachozungumza mwenzio, ni Mr Bean kwa maana ya upuuzi wake. Katika upuuzi wake anasaidia watu kwa kipuuzipuuzi hivyo hivyo.
Akiwa Atikson( kama nimepatia jinalake halisi) hafanyi au kifikiri kama Mr Bean, huko kwongine.
Hakuna sheria inayosema anza na shahidi mwenye impact kubwa - ni common sense, the right thing to do kwa mtu mwenye akili.haya maelezo ni ya kisheria au ni maoni yako?
mwenye busara akikosea huchutama, maneno uliyoandika hayana fasihi yeyote.Nyie wawili mna akili sawa - kidogo!
Mlijiunga lini na geshi letu?
Ngoja niseme mwenyewe basi - na nimeshakuambia. Mr. Atkinson katika uagizaji kama mpumbavu akiwa Mr. Bean bado anafanya matendo ya kusaidia watu. Kwa hiyo lesson ni kwamba hata wapumbavu wanaweza kusaidia watu.hapa unalazimisha awe amemaanisha unavyotaka wewe, msome tena.
Inshort hii kesi feki imepikwa na Ramadhani Kingai alafu sirro na boss wake wakajitwika msalaba bila kujua madhara yake ya baadaye.