Kosa kubwa alilofanya IGP Sirro katika tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe, ambalo linaweza kuleta fedheha mbaya kwake binafsi, kwa Polisi na Tanzania

mwenye busara akikosea huchutama, maneno uliyoandika hayana fasihi yeyote.
Jogoo akiona almasi jalalani atasema kijiwe hiki hakina faida kama nitakayopata nikiona punje moja ya mhindi - Mkuu inabidi ujue fasihi kuyaelewa nilichosema la sivyo utaona hakuna fasihi yeyote!
 
Una
Ninavyofahamu kwa case kama hii, wakati wa briefing kabla ya kwenda kwenye operation kama hii inatakiwa polisi wapewe wajihi wa wahusika pamoja na picha zao, walikuwa na uwezo wa kupata picha zao maana hao watu walitafutwa na mtu wao. hatimaye unazunguka mtaani na gaidi ambaye amepitia mafunzo ya ukomandoo bila ya kuwa na hofu ya kutolokwa?
 
Kwa hiyo nikiwa na malalamiko, nitaenda Polisi. Kujua kwamba Polisi wanafanya upumbavu kama wa kubambikia watu kesi au kufukuza bodaboda hadi Malawi hakutanizuia mie kwenda Polisi kushitaki nikionewa,
huu mstari umenisaidia kujua najadiri na mtu wa aina gani.
 
Hata picha hawakuwa nazo. Walizunguka na huyu mwingine ili awasaidie kuwatambua wenzake🤣
🤣🤣🤣

Hao ndio Polisi wetu bwana - wakiona bodaboda wanaita kwa sauti moja - ulaji huo, fukuza hadi Malawi!
 
Jogoo akiona almasi jalalani atasema kijiwe hiki hakina faida kama nitakayopata nikiona punje moja ya mhindi - Mkuu inabidi ujue fasihi kuyaelewa nilichosema la sivyo utaona hakuna fasihi yeyote!
fasihi hua inaonekana yenyewe bila kulazimishwa.
 
fasihi hua inaonekana yenyewe bila kulazimishwa.
Si kweli. La sivyo watu wote wangekuwa wanafaulu paper za literature!

Wewe utasoma The Great Ponds au River Between kama hadithi, lakini mie nitakuambia sio hadithi tu. Kusadikika nk. Ndio maana kuna wasomi na watu kama wewe.
 
Hivi kuandika barua ya kujizulu nafasi uliyo nayo kuna ugumu gani?
 
Hii kesi Siro atashindwa vibaya.
 
Njama hii ni ya Sirro mwenyewe akishirikiana na Kingai , huyo luteni ni kapuku aliyelipwa tu ili aanzishe jambo
 
Huwa najaribu kumuelewa IGP Sirro katika suala la kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, hadi najiuliza hivi kweli uwezo wa IGP Sirro katika kufikiria ndio umeishia hapo?
Kazi ya upolisi Tanzania ni laana tupu
 
Kazi ya upolisi Tanzania ni laana tupu
Basi katika watu wanaoona wameula Polisi ni namba one. Mamlaka inawaharibu sana - power over citizens.

Nimewahi kumwambia Polisi mmoja ninachoheshimu hapa ni uniform yako sio wewe, sasa kama unataka uone mie ni mtu wa namna gani fanya mpango siku moja tukutane uraiani huna uniform na hiyo kofia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…