Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Mimi naona haya mahangaiko ya kutea na kutengua kila siku yanatokana na kosa alilofanya Mh. Rais la kurithi baraza la mawaziri la JPM kama yeye mwenyewe alivyorithi urais.
Kwakuwa alikuwa ni Rais mpya alipaswa kumteua Waziri mkuu mpya na kisha kuwasilisha jina lake bungeni ili lipitishwe kisha ateue mawaziri wengine. Sasa yeye akaendelea na wale wale ndani yake wakiwemo waliokuwa wanapiga urithi wake wa kiti cha urais na wachache wasiokuwa na msimamo sababu ya njaa.
Matokeo yake sasa ni kila siku panga pangua mpaka muda utaisha hakuna utulivu wa cabinet. Pia hakuwa na haja ya kuendelea na ma RC kama yule wa Arusha na Dar kutokana na usumbufu wao wa kutozingatia sheria na midomo isiyo na breki.
Shida bado ipo na itainekana dhahiri next year 2025 akina mchungaji wamekuja kuomba vyeo ambavyo wanaccm halisi wananyimwa