Tuondolee chuki zako dhidi ya Magufuli wewe pimbi!!Mimi naona haya mahangaiko ya kutea na kutengua kila siku yanatokana na kosa alilofanya Mh. Rais la kurithi baraza la mawaziri la JPM kama yeye mwenyewe alivyorithi urais.
Kwakuwa alikuwa ni Rais mpya alipaswa kumteua Waziri mkuu mpya na kisha kuwasilisha jina lake bungeni ili lipitishwe kisha ateue mawaziri wengine. Sasa yeye akaendelea na wale wale ndani yake wakiwemo waliokuwa wanapiga urithi wake wa kiti cha urais na wachache wasiokuwa na msimamo sababu ya njaa.
Matokeo yake sasa ni kila siku panga pangua mpaka muda utaisha hakuna utulivu wa cabinet. Pia hakuwa na haja ya kuendelea na ma RC kama yule wa Arusha na Dar kutokana na usumbufu wao wa kutozingatia sheria na midomo isiyo na breki.
Shida bado ipo na itainekana dhahiri next year 2025 akina mchungaji wamekuja kuomba vyeo ambavyo wanaccm halisi wananyimwa
Januari na Nape walikuwepo kwenye Baraza la Magufuli!?
Kalemani, Mashimba, Angelina Mabula,, Lukuvi, Kabudi na wengine wote si mliwatoa?? Sasa mbona wewe CHAWA unahamisha magoli??
Nyie ndo mmemponza Samia na uchawa wenu. Leo hii ameanza kupita mulemule kwenye maamuzi ya Magufuli na heshima yake imeanza kurudi.
Ondoa uchawa wako hapa