Kosa kubwa alilofanya ilikuwa ni kurithi Baraza la Mawaziri la Hayati Magufuli

Mfumo mbovu
 
Je February Marope na Yape Maroboti walikuwa kwenye baraza la JPM?
Walikuwepo kabla kwenye awamu ya kwanza baadae kwa madudu yao wakatenguliwa.

SSH angepata wapi uteuzi nje ya wabunge waliochaguliwa wakati wa JPM?

Labda angevunja baraza la mawaziri na kuitisha uchaguzi mpya ili kumtoa Kasimu kisayansi tofauti na hapo angetengeza jinamizi lisiloonekana likimkaba koo kila kona
 
Hilo sio kosa.
Kosa lilianzia pale alipoanza kuweka watu maarufu bila kuangalia weledi. Pia kila aliyekuwa anaimba ccm alilamba teuzi sasa nchi imejaa watendaji makada na wasanii. Badala ya kufanya kazi kazi yao ni kuimba mama...
 
Hivyo mawaziri wake aliowateua wanapoharibu asilaumiwe kwa kurithi baraza la JPM,alaumiwe kwa uteuzi wake mbaya mf kwa hao matapeli wawili aliowatoa jana hawakuwa sehemu ya baraza alilolirithi aliwaweka mwenyewe kwa mapenzi yake. Ba kwa asilimia kubwa mawaziri walioachwa na JPM alishawahamisha wizara na baadhi kuwaondoa kabisa. Nadhani hakuna waziri ambaye bado yupo kwenye wizara aliyoachwa na JPM.
 
Huna akili!

Kosa alilofanya chura kiziwi ni kitendo cha kuwaondoa watendaji wa jpm na kuteua wahuni eti anafungua nchi!

Anzia bandarini, TRA, TISS, nishati, ujenzi kote alivurunda eti anafungua nchi!
Utatetea legacy hadi povu lkn hakuna kitu. Hatutaki ule utawalawa wa giza tena. Nukta
 
Huna akili!

Kosa alilofanya chura kiziwi ni kitendo cha kuwaondoa watendaji wa jpm na kuteua wahuni eti anafungua nchi!

Anzia bandarini, TRA, TISS, nishati, ujenzi kote alivurunda eti anafungua nchi!
So ulitaka mama aendelee na vikaragosi vya Jiwe? Tunamshauri afyeke vyote vibaki vya mtandaoni ambavyo kwa sasa sijui nani anavilipa
 
Kuwa makini na maneno yako. Wananchi hawakumchagua Jiwe. Alijipa madaraka mwenyewe
 
Angebadilisha Waziri Mkuu? Labda umesahau hali ya nchi ilivyokuwa wakati wa kifo kile naye kuchukua madaraka. Hali haikuruhusu changes kubwa.

Kauli ya Mabeyo, 'Jeshi tunakuunga mkono', na kauli ya 'Niliyesimama hapa ndiye Rais wa Tanzania' ilitosha kuonesha kuwa mazingira hayakuwa kama kawaida.

Tatizo ninaloliona ni kusumbuliwa tu na mfumo dume kwa waliomzunguka. Hata kwa Makinda ilikuwa hivi wakati akianza kuwa spika. Utii ulikuwa chini sana, tofauti na sasa.

So Makinda alichonga njia, ndiyo maana Tulia ametulia. Na mama naye kwa sasa anachonga njia.

Ova
 
Chanzo ni pale CCM walipo mpa madaraka Jiwe
Na kama CCM wasingempa madaraka JPM leo hii kusingekuwa na mwananchi anaiamin na kuitumainia na CCM ,Inshort kwenye kumuweka JPM walion mbali sana na ukiwa kilaza hauwezi kuona hilo.
 
Kwa hiyo shida yako ni Waziri Mkuu?
Au kuna shida nyingine umeshindwa kuielezea hapa.
Hao waliotenguliwa juzi alirithi kutoka kwa Mgufuli?
 
Huna akili!

Kosa alilofanya chura kiziwi ni kitendo cha kuwaondoa watendaji wa jpm na kuteua wahuni eti anafungua nchi!

Anzia bandarini, TRA, TISS, nishati, ujenzi kote alivurunda eti anafungua nchi!
Chura kiziwi ni nani?
 
Ni nani na nani walipinga samia kuwa raisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…