Kosa kubwa alilofanya ilikuwa ni kurithi Baraza la Mawaziri la Hayati Magufuli

Tuondolee chuki zako dhidi ya Magufuli wewe pimbi!!

Januari na Nape walikuwepo kwenye Baraza la Magufuli!?

Kalemani, Mashimba, Angelina Mabula,, Lukuvi, Kabudi na wengine wote si mliwatoa?? Sasa mbona wewe CHAWA unahamisha magoli??

Nyie ndo mmemponza Samia na uchawa wenu. Leo hii ameanza kupita mulemule kwenye maamuzi ya Magufuli na heshima yake imeanza kurudi.

Ondoa uchawa wako hapa
 
Na kama CCM wasingempa madaraka JPM leo hii kusingekuwa na mwananchi anaiamin na kuitumainia na CCM ,Inshort kwenye kumuweka JPM walion mbali sana na ukiwa kilaza hauwezi kuona hilo.
Umeongea ukweli kabisa kwasababu chadema imekufa kwasababu ya ujio wa magufuli
 
Na kama CCM wasingempa madaraka JPM leo hii kusingekuwa na mwananchi anaiamin na kuitumainia na CCM ,Inshort kwenye kumuweka JPM walion mbali sana na ukiwa kilaza hauwezi kuona hilo.
Tatizo Tanzania wajinga na masikini bado ni wengi sana. Jiwe aliwafanya mtaji wa kisiasa mpaka mkawa mnajisifia kuwa wanyonge. Mtu timamu hawezi jisifia kuitwa mnyonge. Masikini wanadhani umasikini wao unatokana na tajiri flani, ndiyo maana mlikuwa mnafurahi sana pale jiwe alipokuwa anawatesa matajiri. Ndiyo maana hakuna mtu mwenye akili hata mmoja aliyewahi kubali zile sera zake zaidi ya watu kama wewe. Kama yupo nitajie hata mmoja
 
Ushauri ndio unatoa leo 🚮 🚮
 
Wewe wala huelewi ni mjinga tu. Afute baraza la mawaziri kwani yeye kachaguliwa na wananchi au kaingia kwa mapinduzi au karidhi aliyechaguliwa kafariki. Yeye hakua wala na mandate kimaadili kuwaondoa mara moja mawaziri na alipaswa kuendeleza program iliyomuingiza mtangulizi aliyepewa ridha na wananchi. Ndio maana kitendo cha kuwarudisja wakora aliyokua amewatema magufuli kiliwakasirisha wananchi waliyompa ridhaa yao magufuli kwa zaidi ya asilimia 84.
 
Huna lugha ya kiungwana mkuu. Haya ni maoni yangu kwa uelewa wangu sioni haja ya kunikashifu. Mimi sikumtaja mtu kwenye mada yangu sijui umefikaje huko. Lugha chafu na kashfa kwenye mijadala ni dalili ya kutokuwa na hoja na ukosefu mkubwa wa ungwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…