Kosa kubwa analifanya Rais nikudharau hata wale wamemfikisha alipo je atadumu?

Akina Lucas Mwashambwa wapo humu na likes zao huku wanataka kumsababishia mtu matatizo kama akina Kabudi (waliokosea kwa midomo yao na hawakuwajibika) wakaaicha midomo ikatereza kwa kumwita mwanadamu "mheshimiwa Mungu".
Kabudi ni aliteleza tuu ulimi, kisha alirekebisha, hivyo alitubu, kazi ilibaki kwa yeye mtajwa ndiye naye alipaswa kukana kuwa yeye sio Mungu!. Kitendo cha kuamka na kuzungumza bila mention kuwa yeye sio Mungu, ndicho kikamponza!.

P
 
Si alisema eti bashiti ndiye alifanya ateuliwe umakamu wakati alijipayukia tu.
 
Kwanini watu wanapenda kusomwa somwa kwenye hotuba na kushukuriwa hadharani? Waswahili hawakukosea kusema Hasidi Hana sababu. Hata ukimpa milioni atasema badala ungenipa Dollars.
Na Kila mtu popote aliko ana makosa iwe kwenye familia, kanisani, makazini nk. Hakuna anaestahili hata kupumua saa hizi.

Kabla ya mtu kumdhuru mwingine kwa ajili ya shutuma ahakikishe ni safi, Hana mawaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…