Kosa kubwa la Gwajima ni lipi?

Chakusikitisha na kushangaza kuna wenzake alipokuwa akiongea walikuwa wanampigia makofi
 
Apigwe nduli Gwajima(tuitikie wote)...... Apigweeee!
 
Kiburi cha uzima
Mungu hadhihakiwi
Atamjibi tu sawasawa na domo lake.
 
Kosa la Gwajima ni kusema ukweli ambao watu wote wanaujua lakini hawana ujasiri wa kuusema hadharani.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…