Ameamua kuungana na ID's zilizoanzishwa August kwa ajili ya Polepole kuonyesha uwezo wake mdogo wa kufikiri.Kwani chama gn kinaogoza hicho ulichokiita taifa?
Huwezi kuongelea matatizo ya tanzania ukajifanya huihusishi CCM haiwezekani ,Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
Huwezi kuongelea matatizo ya tanzania ukajifanya huihusishi CCM haiwezekani ,
1. Wala rushwa wakubwa - CCM
2.mafisadi papa - CCM
3.wezi wa mali za umma -CCM
4.Waharibifu wa amani na usalama - CCM
5.Mikataba ya kitaifa isiyo eleweka - CCM
6. Wabunge wasio jua wajibu wao - CCM
7. Wabadhirifu wakubwa fedha za umma - CCM.
8. Kesi za kubambikia raia -CCM
9.Kuteka na kuua kikatili - CCM
10.kudorora miradi ya umma - CCM
11. ........ + - CCM
Sasa hebu niambie jambo gani utaliongea kuhusu taifa hili wakakosekana CCM ndani yake? hebu tupe mfano.
Mwenye maamuzi ya kukubali kubadili system ni chama au serikali? Kwa uzoefu wako ndani ya nchi hii kati ya chama na serikali kipi kina nguvu? Kwani hizo system mara zote yalipo tolewa mapendekezo ili zibadilishwe zilikutana na kigingi serikalini au chamani?Tatizo kubwa sio kusafisha oil bali ni kubalisha mfumo. Ukibadilisha CCM na sio mfumo tutarudi palepale kwamba nchi inategemea mtu badala ya mfumo akifa mtu …. Ndiyo maana wakina warioba wanaongelea system sio chama
Ujuwe huyu Polepole na MangeKimambi wako fully paid na Januari Makamba kwa ajili ya kumvuruga Samia. Ndiyo maana wamejikita tu na CCM badala ya hoja kubwa za kitaifaKosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
Hoja gani kubwa ya kutaifa utaongelea ambayo CCM hawahusiki? Hebu tupe mfanoUjuwe huyu Polepole na MangeKimambi wako fully paid na Januari Makamba kwa ajili ya kumvuruga Samia. Ndiyo maana wamejikita tu na CCM badala ya hoja kubwa za kitaifa
12- Na kudhalilisha hata Wazee ni CCM ! 😳🤷🏿♂️Huwezi kuongelea matatizo ya tanzania ukajifanya huihusishi CCM haiwezekani ,
1. Wala rushwa wakubwa - CCM
2.mafisadi papa - CCM
3.wezi wa mali za umma -CCM
4.Waharibifu wa amani na usalama - CCM
5.Mikataba ya kitaifa isiyo eleweka - CCM
6. Wabunge wasio jua wajibu wao - CCM
7. Wabadhirifu wakubwa fedha za umma - CCM.
8. Kesi za kubambikia raia -CCM
9.Kuteka na kuua kikatili - CCM
10.kudorora miradi ya umma - CCM
11. ........ + - CCM
Sasa hebu niambie jambo gani utaliongea kuhusu taifa hili wakakosekana CCM ndani yake? hebu tupe mfano.
Huyu amekuja na staili mpya ya kumtoa Polepole kwenye reli. Anachuja mbu na kumeza ngamia. Ngoja nione kama Polepole atatoka kwenye reli kupitia ushauri wake huu🤣Kama unadhani kuwananga wana mtandao wanaoifilisi nchi wakipindisha ela za matibabu(afya), elimu, ujenzi wa miundombinu na kujimilikisha migodi ambayo ingeinua watanzania ni kuiongelea CCM basi huna AKILI. Hivi huwa mnasoma mnayoandika na kutafakari au mnakurupuka tu!!?..
Swali moja tu:, akitaja waliotaka kumuua Lissu ndio atakuwa anaongelea mambo ya kitaifa!?..,
Waliotaka kumuua Lissu na wanaoiba makaa ya mawe ambayo pesa zake zingeweza kujenga hospitali kila kata au zahanati kila kata kipi kinahusiana na wananchi!?.., mfano akwambie aliyetaka kumuua Lissu ni Mafwele na Makonda inamsaidia nini mwananchi anayeishi Mtwara, Songwe, Katavi etc. Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri (Thinking Capacity). Kwa akili yako hiyo huwezi kumuelewa Polepole.