Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 2,252
- 4,839
Mkuu kwa leo ikitokea CCM hiyo ikapata mtu kama Lissu utaendelea kuichukia au unachukia watu walioamua kuila nchi chini ya ccm?Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
Kwanini lisiwe Jambo la kitaifa kwani wanao uawa na kutekwa sio watz na hawana haki ya kusemewa ?Kama unadhani kuwananga wana mtandao wanaoifilisi nchi wakipindisha ela za matibabu(afya), elimu, ujenzi wa miundombinu na kujimilikisha migodi ambayo ingeinua watanzania ni kuiongelea CCM basi huna AKILI. Hivi huwa mnasoma mnayoandika na kutafakari au mnakurupuka tu!!?..
Swali moja tu:, akitaja waliotaka kumuua Lissu ndio atakuwa anaongelea mambo ya kitaifa!?..,
Waliotaka kumuua Lissu na wanaoiba makaa ya mawe ambayo pesa zake zingeweza kujenga hospitali kila kata au zahanati kila kata kipi kinahusiana na wananchi!?.., mfano akwambie aliyetaka kumuua Lissu ni Mafwele na Makonda inamsaidia nini mwananchi anayeishi Mtwara, Songwe, Katavi etc. Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri (Thinking Capacity). Kwa akili yako hiyo huwezi kumuelewa Polepole.
Kwani hujui CCM ndo adui No. 1 wa Taifa?Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
Matatizo ya Tanzania, watanzania na umasikini wa Tanzania, vimesababishwa na CCM kwa hiyo huwezi kutenganisha.Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
Yawezekana uko sahihi lkn pia mimi sijfahamu dhamira ya huyu jamaa ni nini.Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
Wewe kweli ni BOGA, Kuna mstari mwembamba saaaana, unaotofautisha CCM na Serikali!!🤔🤔Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
HAPANA, Mange unamsingizia, Mange always yuko upande wa haki, Mange often yuko upande wa Chadema.📌✍️Ujuwe huyu Polepole na MangeKimambi wako fully paid na Januari Makamba kwa ajili ya kumvuruga Samia. Ndiyo maana wamejikita tu na CCM badala ya hoja kubwa za kitaifa
Mkuu ww ni mjinga au akili unazo ila unatumika vibaya "chawa".Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
Ujuwe huyu Polepole na MangeKimambi wako fully paid na Januari Makamba kwa ajili ya kumvuruga Samia. Ndiyo maana wamejikita tu na CCM badala ya hoja kubwa za kitaifa
Kwamba January Makamba ana pesa nyingi ya kumlipa Polepole zaidi ya Mshahara na posho za Ubalozi, then amlipe na Mange Kimambi?...dah basi January tajiri sanaUjuwe huyu Polepole na MangeKimambi wako fully paid na Januari Makamba kwa ajili ya kumvuruga Samia. Ndiyo maana wamejikita tu na CCM badala ya hoja kubwa za kitaifa
Wewe ni wa kumfundisha polepole mambo ya katiba au yeye akufundishe wewe? Hujui yeye ndiyo kati ya wale wanaoipigania na kuitetea rasimu ya warioba na sio rasimu pendekezwa? Kama unajua basi umekopesha akili zako ili useme mbovu, na kama hujui basi jifunze hili leoLakini Polepole anatakiwa kufahamu pia hii mambo imefikia hapo ilipofikia kwa sababu Katiba ya Nchi iliyopo hata Mwalimu Nyerere aliihofia kutokana na madaraka makubwa sana sana aliyopewa Mkuu wa Kaya 😳 !
Watu wajanja wajanja huwa wanafanya mambo yao kwa kuangalia advantage na loop holes ya kupitishia majambo yao 😳 !
Ukiishika sukani chombo kitaelekea utakako 😳 !
Umejaribu kuiweka vizuri lakini naona unakosa uungwaji mkono hata na wale jamaa wa NRNE.Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
Ccmnikiwa imara hata serikali inakuwa imaraKosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.