ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Sasa ww ongelea taifaKosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
Ingawa anasaidia, maana sasa hivi nchi imetekwa na kaikundi ka Abdul.Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
Mange anamilki G-Wagon kwa pesa ya udaku. Udaku unamuingizia fedha nyingi sana kutoka kwa Watanzania wapenda udaku.HAPANA, Mange unamsingizia, Mange always yuko upande wa haki, Mange often yuko upande wa Chadema.📌✍️
Mimi niko sawasawa ila jiangalie wewe pengine ndiyo una shida. Usikariri kupinga kila kitu kwa kuwa tu kinatoka Serikalini. Namuunga mkono Samia kwa vile alianza vizuri na wapinzani, ila wapinzani wakataka kumpanda kichwani. Muache awainyeshe ngondoigwaWewe jamaa sijui huwa unafikiri kwa kitumia kiungo gani🤔
Mbona zamani ulikuwa na akili timamu! Nini kimekukumba?
Polepole hakuzungumzia mambo ya kusafisha oil. Alizungumzia kumwaga. Hata wewe unajua kuwa oil huwa inamwagwa. Hivi huwa husomi ulichoandika na kutafakari kabla ya kupost? Ni mfumo gani unaoweza kubadilika bila kuibadilisha CCM, hebu utaje.Tatizo kubwa sio kusafisha oil bali ni kubalisha mfumo. Ukibadilisha CCM na sio mfumo tutarudi palepale kwamba nchi inategemea mtu badala ya mfumo akifa mtu …. Ndiyo maana wakina warioba wanaongelea system sio chama
Kwani kiungo gani cha kutumia kufikiri zaidi ya ubongo ??! 🤣🤣🤣Wewe jamaa sijui huwa unafikiri kwa kitumia kiungo gani🤔
Mbona zamani ulikuwa na akili timamu! Nini kimekukumba?
Ni kweli ila mwenzetu hatumii ubongo kufikiriKwani kiungo gani cha kutumia kufikiri zaidi ya ubongo ??! 🤣🤣🤣
Mimi sina cha kupinga kutoka serikalini na wala siwezi kukupangia nani umuunge mkono. Ila angalia michango yako mingine unakuwa kama headless chickenMimi niko sawasawa ila jiangalie wewe pengine ndiyo una shida. Usikariri kupinga kila kitu kwa kuwa tu kinatoka Serikalini. Namuunga mkono Samia kwa vile alianza vizuri na wapinzani, ila wapinzani wakataka kumpanda kichwani. Muache awainyeshe ngondoigwa
unaweza kuchora mstari wa kutenganisha ccm na serikali? akili ndogo hiziKosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
Mwenye maamuzi ya kukubali kubadili system ni chama au serikali? Kwa uzoefu wako ndani ya nchi hii kati ya chama na serikali kipi kina nguvu? Kwani hizo system mara zote yalipo tolewa mapendekezo ili zibadilishwe zilikutana na kigingi serikalini au chamani?
Hakuna namna ya kubadili chochote nchi hii bila kwanza chama kujitenga na serikali na hilo kwa sasa haliwezekani na ndio kwanza linashamiri zaid ,
kwanza chama kirudi kwenye misingi yake ya awali, chama kirejewe kwenye azimio la arusha ili serikali sasa iweze kujisimamia na hizo system unazo sema mdio zibadilike kinyume na hapo huwezi ongelea ubovu wa serikali huku unajitoa ufahamu eti bila kuhusisha CCM.
Kumbuka CCM kwa umoja wao wa mashetani na maruhan ndio walio gomea na kuharibu mchakato wote wa katiba mpya 2012/2014, mchakato ambao kama ungepita ulikuwa unatoa taswira mpya kabisa na kuleta viongozi wawajibikaji nchini lakin kwa umoja wao na nguvu yao wakashikamana kwa ubinafsi mchakato ulio tumia bilions of money ukafia njian hadi sasa bila huruma ya pesa zilizo tumika bado hao watu tuseme wana nia njema na taifa hili ? BIG NO .
Unaongeleaje taifa bila kuitaja CCM??Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
kwa maslahi ya pole pole lakini siyo ya watanzania mana pale akiitwa akapewa kitita anakana yote anayoyaonge kama alivyokana ile kauli kwamba kukiwepo tume huru ya uchaguzi basi ccm haipoKama unadhani kuwananga wana mtandao wanaoifilisi nchi wakipindisha ela za matibabu (afya), elimu, ujenzi wa miundombinu, na kujimilikisha migodi ambayo ingeinua watanzania ni kuiongelea CCM, basi huna AKILI. Hivi huwa mnasoma mnayoandika na kutafakari, au mnakurupuka tu?!
Swali moja tu: akitaja waliotaka kumuua Lissu, ndio atakuwa anaongelea mambo ya kitaifa?!
Waliotaka kumuua Lissu na wanaoiba makaa ya mawe, ambayo pesa zake zingeweza kujenga hospitali kila kata au zahanati kila kata, kipi kinahusiana na wananchi?! Mfano, akwambie aliyetaka kumuua Lissu ni Mafwele na Makonda, inamsaidia nini mwananchi anayeishi Mtwara, Songwe, Katavi, etc.?
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri (Thinking Capacity). Kwa akili yako hiyo huwezi kumuelewa Polepole.
Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
kwa maslahi ya pole pole lakini siyo ya watanzania mana pale akiitwa akapewa kitita anakana yote anayoyaonge kama alivyokana ile kauli kwamba kukiwepo tume huru ya uchaguzi basi ccm haipo
Inaelekea una mtindio wa ubongo. Asiye muelewa Slow Slow ni miongoni mwa vikaragosi wa mafisadi na mafisadi wenyewe katika harakati za kuficha ukweli wa ufisadi wao. Mwandishi wa hii thread muogope Mungu. Amen.Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo ya kitaifa sio utamaduni wa Chama na kumnwaga oil ya Chama.
No reform no election ni kwa wote sio chama. Haki na katiba mpya ni kwa wote sio chama. Sasa wewe ukiwa unajua share za kampuni ya makaa ya mawe na kunyamazia walio taka kumuua Lissu watu wanakuona hauelewi taifa. Uzalendo ni kuongelea mambo ya kitaifa sio oil chafu za CCM. Chama cha CCM hakijawahi kuwa demokrasia hivyo Watanzania wengi hawajali demokrasia ndani ya chama badala yake wanajali mambo ya kitaifa.
1. Haki za watu wote -demokrasia
2. Usalama wa watu wote -hakuna kutekana
3. Vita ya Rushwa
4. Vyombo huru vya usalama
5. Mahakama huru
6. Mikataba bora
Haya ndiyo mambo ya kitaifa sasa huyu jamaa kuongelea oil chafu wakati gari nzima kwa Watanzania ni chafu haisaidii. Gari la CCM ni bovu mkweche sasa watanzania wengi hawajali wala kushutuka kama oil chafu!!!
Polepole ongelea hayo mambo ya kitaifa bila hivyo vyamaza unapoteza muda hatujali oil chafu
Inaelekea una mtindio wa ubongo. Asiye muelewa Slow Slow ni miongoni mwa vikaragosi wa mafisadi na mafisadi wenyewe katika harakati za kuficha ukweli wa ufisadi wao. Mwandishi wa hii thread muogope Mungu. Amen.