MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Yupo kwani? Ni nani?nashangaa kwanini kampeni meneja alikuwa haja notice hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo kwani? Ni nani?nashangaa kwanini kampeni meneja alikuwa haja notice hilo
Tusimkopeshe tunaemdai! Hatufai hata kidogo atazidi kutukopa hata akiba zetu tukose cha kufanya, tutakufa....---Dar -Mwanza sh 70,000/= to 400,000/=?
Lussu for presidentRobert Amsterdam kawadanganya, mwambieni Magufuli haondoki jana leo hata kesho. Hivyo rudisheni advance ya rasilimali mliochukua.
Afadhali ww na huyo mtu wako mrejee mapema Burundi hukooLisu akishinda nahama nchi tena naukana uraia wangu
Daaaaaaah basi tuko hatarini, ko mitano tena ya kuuana, kutekana, kugeuza bodi ya mikopo ya elimu ya juu kua Bank ya biashara kwa wanafunzi, kutowaongezea mishahara wafanyabiashara, kufanya miradi kwa kuangalia watu wenye pesa badala ya mamilioni ya watanzania ambao wanakosa hata maji.Mitano tena, wacha kazi iendelee. Kazi ya stiglers, standard gauge, madege, umeme vijijini vilivyobaki, hospital, barabara et
Mwondoeni Mbowe kwa lazima au hiari kwa kula ruzuku na michango ya wabunge 1.5Mil. Magufuli haondoki hata kwa greda. Maana yeye mwenyewe ndo tingatinga na limetinga mpaka Ufipa.Huwezi amini, wengi miongoni mwenu mtampigia kura JPM.
Uko sahihi sana, lakini kuongezea kitendo cha kampeni kutawaliwa na sanaa kwa asilimia 80% badala ya Sera ni kosa kubwa kisiasa. Wenye busara wanakuona kama una mizaha na maisha yao.Kawaida na hulka ya binadamu ni kutamani kusikia au kuona kitu kipya kuliko cha zamani, wazungu wanasema test the difference.
Tangu kampeni zianze CCM wamepoteza muda mwingi kuelezea vitu walivyo fanya wakasahau kuwaeleza wapiga kura nini kipya watawafanyia wananchi endapo watawachagua tena...
Hawana jipya wala hawana seraHivi sera ya CCM mwaka huu ni IPI? Maana nasikia tu " Mitano tena "
Wacha flyover na tbc wampigie kuraKwenye mabasi, kwa kinyozi, kwa mama ntilie nk, kila mtu anaangalia clips za Lissu. Huyo anajianika TBC na fly-overs zake hakuna anae angalia.
Haswaa.. pimbi wa Lumumba hawajui haya. Wanaishi kwny history tuhata mkeo ndani anapenda kuskia ahadi mpya kwamba nitakununulia nguo nitakuletea viatu nitakupeleka movies.
Lakini ukimwambia nilikununulia nguo nilikuletea viatu nilikupeleka movies anakuchoka sababu yale ameshayaona hayana jipya tena kwake.
Mitano tena ya kutopandisha nadaraja watumishiMitano tena ya Bombardier
Mitano tena ya Meli na vivuko
Mitano tena ya barabara
Mitano tena Madaraja
Mitano tena ya Masoko ya kisasa
Mitano tena ya Shule
Mitano tena ya hospitali na vituo vya afya na zahanati..
Mikutano yake watu wanakusanyika kuona na kusikiliza wasanii.. Akina diamond wakishuka jukwaani, jiwe akianza porojo zile zile za kila siku, wasikilizaji wanasepaHuwezi kushindana na wakati ndugu yangu.kila chenye mwanzo kina mwisho wake pia.
Mitano Tena!Hivi sera ya CCM mwaka huu ni IPI? Maana nasikia tu " Mitano tena "
Tunduma waliwaambia kaeni na maji yenu tumeshazoea kuishi bila maji kwa miaka 60 leo mnatutishia maji,Haya ni matokeo tu ...Wapambe wa JPM walishindwa kuelewa kuwa Uongozi Ni kushawishi! Inategemea unashawije! Wao waliamua (JPM)!?kutumia nguvu na hila!
Mtindo huu unatanya /ilikuwa unatanya kazi kwenye Jamii zilizotopea ujinga,kukosa taarifa...
Mume anaeongelea aliyoyafanya ni dalili za masimango.Umesema kweli lakini kuna mijitu inayolipwa kuongea pumba itakuja kukupinga hapa na kukubishia.
ukweli kampeni ni kama kutongoza vile hata mkeo ndani anapenda kuskia ahadi mpya kwamba nitakununulia nguo nitakuletea viatu nitakupeleka movies...
Na wewe unaendeleza ulaghai ule ule, hakuna mtu aliyesema ndege hazihitajiki bali priorities, huwezi kununua ndege 10 huku hospitali hakuna dawa kama ni lazima kununua ndege kwanini usinunue mbili au 3?CCM walikua wanasafisha njia kwa uongo na ulahai wenu mlowalisha wananchi katika kampeni.
Kwamba ndege,ujenzi wa nchi,maendelo ya vitu hayaitajiki nchi hii.
Hapo ndo watu wakawaona nyinyi kweli Ni mwezi mchanga