Kosa kutumia pesa usiyoitambua

Kosa kutumia pesa usiyoitambua

SirLuke

Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
75
Reaction score
8
Wana JF,

Najua kuna wanasheria na mawakili wengi humu ndani. Naomba kufahamu, iwapo mtu amepokea pesa kutoka kwa mtu usiyemfahamu na ukaitoa na kuitumia bila ridhaa yake, je sheria inasemaje kuhusu hili?
 
Hujatenda kosa la kushtakiwa. Ila unapaswa kuilipa.
 
Back
Top Bottom