Kosa la Gardner na kosa la Jay Dee ni sawa!

Hahahahaha hayo mambo tuwaachie wenyewe by the way mi naonaga nyimbo zake nzuri tu sio kwamba zinamlenga g mashabiki tunajua kurelate tu but nothing bad with her lyrics
 
I support Gadner,
Jaydee mara kibao kamsema ovyo gadna kawa kimya. Leo jibu moja tu kelele nyiiingi, jaydee alivyokuwa anaropoka ovyo alidhani mwenzie ana moyo wa jiwe? Mliotetea gadna ana mtoto wa kike, kwani wkt jaydee anamdhalilisha gadna huyo mtoto alikuwa hajazaliwa? Come on guys lets be fair! Huyo jaydee kawa mswahili hata nyimbo zake ni vijembe tu si km zamani alipoanza. She is no better.
 
If at all she is strong as she used to claim mbona hawezi kumove on, kama G hakuwa na mchango wowote kwenye mafanikio yake mbona alinyumba tena saaaanaaaaaa kwenye kazi zake? Leo hii kapata wafadhili katoa wimbo, na anakiri mwenyewe anaamka tena this means alianguka, eti huyu tena kaamka na G, atamuimba G mpaka lini sasa?
 
Ukitaka kuja na majibu ya kwamba Ndindindi katungiwa Gadner basi yapaswa ufungue kabati usikilize nyimbo zote za Lady JayDee
 
Ambae hajaongea ukweli ndo anamakosa; kama kweli Gadna alikuwa anamcheat Jide, na kubeba michepuko yake kwenye gari ya mama inamaanisha jide alipoulizwa sababu alijibu sawa, vinginevyo angedanganya.
Gadna nae just from no where anaropoka kwamba kamkojoza Jide miaka hiyo, sina hakika sasa kama ni kweli ama vipi sina hakika pia na urahisi wa hicho kitendo
 
Sidhani kama Jide kajibu chochote, na sijui pia ni vipi Jide kamsema G. Kilichoamsha hisia za watu nafkiri ni lugha aliyotumia Gadna ndo imekuwa ya ukakasi
 
Ya Kwenu yamewashinda mnakaa kufuatilia maisha ya watu. Nyambafu
 
Jide hajawahi kumuimba Gadner ila mashabiki tu ndo wanaorelate mambo ndivyo sivyo!
Alivyotoa forever watu oooh analilia mtalimbo wa G, kwenye give me love oooh penzi la G sijui limemfanya nini nini ooooh alijitia kiburi sasa hivi analalamika sijui kachujuka kwa stress na mambo kibao!!

Sasa kaibuka na kitu cha Ndi Ndi Ndi tena imekua nongwa....kaimbwa fulani! Pyeeeeeeee!!! Mashabiki ndio walomprovoke Gadner wala si Jide.

Toka enzi za machozi, wanaume kama mabinti, siri yangu, moto, makini, wangu, yahaya, jotohasira mpaka Ndi Ndi Ndi ndo kaonwa Gadner??!!! Aaaa bhana eee tusinyimane uhondo watu wakaiona nyimbo haifai kisa flani anaonewa huruma.
 
Ivi mnaomwita Gadner Mariooo mnajitambuaaa....ivi una mkee mwimbaji..Mume unahangaikia wadhamini....mipango..Mpaka kupachikwa Umeneja..Sasa si wote walivujaa jashoo..au ninyi mliwai kwenda kwao Kimara walikokuwa w anaishi mkamkuta Gadner Amekaa Sebuleni ana angalia Marudioo Ya Isidingooi...Ebu kaeni mtafakari Huyoo Bi kizee Bi mkoraa asiwapelekeshee...kiruuuuuu!!!
 
Lady Jaydee piga kazi dadaaa waache wenye kusema waseme na wenye kutukana watukane......you are your own boss hata redio ya wafu inatambua hilo.
So, maswala ya kukojozwa sijui kunyewa tupaa kuleee, hayo ni maneno tu kama yalivyo maneno mengine yanayoandikwaga kwenye keki na watu wanayasonsomola kama kawa!
Huyo Gadner alijionaga hensam sana mwenye kirungu cha dhahabu iweje leo anageuka victim wa nyimbo za Jide??!!!
Mmmmmhhh penye bonde patiwe udongo jamani ardhi iwe level kuliko kupokea huruma ziso sababu.
Aiiiii #WATAZIOGA
 
 
kwani Gadner alimtaja huyo mtu aliyemkojoza hyo miaka 15?
 
Sidhani kama Jide kajibu chochote, na sijui pia ni vipi Jide kamsema G. Kilichoamsha hisia za watu nafkiri ni lugha aliyotumia Gadna ndo imekuwa ya ukakasi
Kama hujui ni vipi Jide kamsema Gadna pia usijue ni vipi Gadna kamsema Jide maana hajamtaja jina pia.
 

Bi kizee Bi Mkora oyeeeeeeeeeeeeeee!!!
Hata sisi pia tutazeeka tu growing old is mandatory.......there is no way tutakaa tuukimbie uzee!

Siku hizi mwenzangu hata ukiwa mwanamke uwe umeolewa na mume, umsaidie kusimamia sijui miradi, sijui umsaidie kazi, umuingizie kipato halafu siku ya siku umebwagwa pwaaaah unarudi kwenu na lapa tu uliloondokaga nalo.........looh kuchekwa lazima mama kuchekwa lazimaaaa haijalishi umemuingizia sh ngapi au umemfanyia kazi kiasi gani....ni zaidi ya ugoli kipa na ulofa!
Helloooow!!! Watu wanakaa karibu na waridi ili wanukie sasa mwenzangu utoke na kiembembuzi wapi na wapiiii!!!
 
Hajaropoka, amesema ukweli. JD ajitokeze akanushe kama kwel hajakojozwa ....
Mimi nimependa alivyo tuletea msamiati mpya....

#KUKOJOZA.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
 
ulimbukeni unasumbuaga sana watu. wanafanya maamuzi halafu hawajiamin wanaendelea kujunguana
 
Ila Gadner ni hatari alikuwa anatungiwa nyimbo ana andikiwa gazet , ila ye kapiga sentensi moja tuu, abar ya town

Kila mtu atumie forum yake vzur, japo cyo frsh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…