Jide hajawahi kumuimba Gadner ila mashabiki tu ndo wanaorelate mambo ndivyo sivyo!
Alivyotoa forever watu oooh analilia mtalimbo wa G, kwenye give me love oooh penzi la G sijui limemfanya nini nini ooooh alijitia kiburi sasa hivi analalamika sijui kachujuka kwa stress na mambo kibao!!
Sasa kaibuka na kitu cha Ndi Ndi Ndi tena imekua nongwa....kaimbwa fulani! Pyeeeeeeee!!! Mashabiki ndio walomprovoke Gadner wala si Jide.
Toka enzi za machozi, wanaume kama mabinti, siri yangu, moto, makini, wangu, yahaya, jotohasira mpaka Ndi Ndi Ndi ndo kaonwa Gadner??!!! Aaaa bhana eee tusinyimane uhondo watu wakaiona nyimbo haifai kisa flani anaonewa huruma.