Kuna kauli mbiu ipo kwenye mpira.. Respect..
Heshima sio kwa kocha..
Heshima kwako
Heshima kwa mpinzan wako
Heshima kwa mashabiki
Heshima kwa refa
Heshima hadi kwenye mpira..
Alichokuwa anakifanya huyu ni maudhi yaliyopitlza na dharau juu yake..
Brazil kuna mchezo mmoja mashabiki waliingia uwanjan kutokna na mchezaji wa timu pinzan kufanya dharau zilizopitlza...
Ukiwa mtu wa kuangalia sana psl hiv ni vtu vya kawaida.. Binafsi yangu niseme tu napenda sana haya mambo japo nakiri si jambo la busara hasa mkiwa mnacheza game.. Ila mie ni mfuas mkubwa tuu wa vtu hiv na ndio maana hamna mwaka nikaacha kucheza beach soka, pale maji yanapokuwa yametoka kuna ardhi moja safi old Trafford pakasome basi michezo hii ndio mwake.. Kudhalilishana na mengineyo sie tunaita mpira wa starehe.. Chezea utakavyo kutokana na ujuz wako wala hugombwi tena ndio furaha yetu