Kosa la huyu mchezaji ni nini!?

Kosa la huyu mchezaji ni nini!?

Uchochezi huo mpira ni mchezo wa furaha sasa jamaa analeta maudhi mwamuzi kaona isiwe tabu kula njano amani iwepo mchezoni.
 
Ni maudhi, lakini jamaa hajavunja sheria yoyote ya soka.
Hata hao wachambuzi wamekiri hakuna kosa lolote na wanashangaa mwamuzi kutoa kadi basi hutimisho ndo hilo la mwamuzi ila viungo vinavyotakiwa mpira usiguse kama mkono haukugusa.
 
Kama kufanya hivyo ni kosa la kupewa kadi basi Messi na Ronaldinho wangekua wanapewa kadi kila mechi.
 
huyo refa angekua bongo angesababisha viti vivunjwe
 
huyo refa angekua bongo angesababisha viti vivunjwe
Nachowapendea wabongo wakati mwingine hawapendi upuuzi sasa mchezaji anaonesha majojo we unampa kadi, refa angepigwa nami nasema apigwe tu maana hakuna namna...
 
kosa lake ni kudhihaki mpira... kitendo chochote cha kudhihaki mpira ni kadi ya njano...
 
Hapo hata mimi sioni kosa alilofanya hadi apewe kadi.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mbona Denilson alistaafu na mpira wake! Yeye kazi yake ilikuwa ni kuchelewesha dakika pale Brazil inapokuwa imeshinda.
Tunachangamsha mada kiukweli hakuna kosa lolote jamaa kaonyesha umahiri ila tafsiri ya mwamuzi ndo imetuacha hoi.
 
Huyu mchezaji kavaa rangi za ccm hata red card inamuhusu huyu.[emoji12]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kuna kauli mbiu ipo kwenye mpira.. Respect..

Heshima sio kwa kocha..

Heshima kwako
Heshima kwa mpinzan wako
Heshima kwa mashabiki
Heshima kwa refa
Heshima hadi kwenye mpira..

Alichokuwa anakifanya huyu ni maudhi yaliyopitlza na dharau juu yake..

Brazil kuna mchezo mmoja mashabiki waliingia uwanjan kutokna na mchezaji wa timu pinzan kufanya dharau zilizopitlza...

Ukiwa mtu wa kuangalia sana psl hiv ni vtu vya kawaida.. Binafsi yangu niseme tu napenda sana haya mambo japo nakiri si jambo la busara hasa mkiwa mnacheza game.. Ila mie ni mfuas mkubwa tuu wa vtu hiv na ndio maana hamna mwaka nikaacha kucheza beach soka, pale maji yanapokuwa yametoka kuna ardhi moja safi old Trafford pakasome basi michezo hii ndio mwake.. Kudhalilishana na mengineyo sie tunaita mpira wa starehe.. Chezea utakavyo kutokana na ujuz wako wala hugombwi tena ndio furaha yetu
 
Back
Top Bottom