Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hao wachambuzi wamekiri hakuna kosa lolote na wanashangaa mwamuzi kutoa kadi basi hutimisho ndo hilo la mwamuzi ila viungo vinavyotakiwa mpira usiguse kama mkono haukugusa.Ni maudhi, lakini jamaa hajavunja sheria yoyote ya soka.
Nachowapendea wabongo wakati mwingine hawapendi upuuzi sasa mchezaji anaonesha majojo we unampa kadi, refa angepigwa nami nasema apigwe tu maana hakuna namna...huyo refa angekua bongo angesababisha viti vivunjwe
Uvunjifu wa amani chenga za maudhi mpira hautaki hivyo ni sawa kumpiga mtu chenga kisha unamsubiri umpige tena.Refa alipaniki baada ya kuona staili mpya!
Tunachangamsha mada kiukweli hakuna kosa lolote jamaa kaonyesha umahiri ila tafsiri ya mwamuzi ndo imetuacha hoi.[emoji1] [emoji1] [emoji1] mbona Denilson alistaafu na mpira wake! Yeye kazi yake ilikuwa ni kuchelewesha dakika pale Brazil inapokuwa imeshinda.
Nimeona wachambuzi wanasema hakuna kosa lolote mpira haukugusa kiungo kama mkono ambacho hairuhusiwi nao wakawa wanamshangaa mwamuzi.Kuna video wameichambua hiyo kadi ya njano. Ngoja niitafute YouTube, halafu niiweke hapa.