SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Inawezekana pia Alexander HlebDogo alisema akipigiwa simu toka Barcelona hapokei nahisi kajifunza kutoka kwa
Alex Song
Fabregas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana pia Alexander HlebDogo alisema akipigiwa simu toka Barcelona hapokei nahisi kajifunza kutoka kwa
Alex Song
Fabregas
Yanga&Manchester utd ziko damuniIli tuondoe sintofahamu itapendeza kama utataja timu unayoshabikia ili tuende sawa.. Binafsi naamini katika SIMBA SC (Taifa Kubwa) & FC Barcelona..
Mkamchukur sergi aurier wa PSGTatizo lako wewe unajifanya unaijua sana FC Barcelona, kumbe hujui lolote .. Embu thibitisha kama kweli Dani Alves aliuzwa kama uzi wako unavyodai!
Kwa taarifa yako tu " Dani Alves hakuuzwa bali aliamua kuondoka mwenyewe baada ya kumaliza mkataba wake".
Kwani ukipenda timu lazima uwe na hisa ......thanks kwa correction Ndugu,sijui lolote ok njoo wewe mwenye kujua umwagw vitu nahisi hata spelling za neno Barcelona nimekosea.
Una hisa pale nini Ndugu?
Tatizo lako wewe unajifanya unaijua sana FC Barcelona, kumbe hujui lolote .. Embu thibitisha kama kweli Dani Alves aliuzwa kama uzi wako unavyodai!
Kwa taarifa yako tu " Dani Alves hakuuzwa bali aliamua kuondoka mwenyewe baada ya kumaliza mkataba wake".[/QUOl
Lakini angepewa mkataba hata wa mwaka asingekataa...
Hicho cha juu nakikubali sana kitendea kazi cha maana sana ( 45 barow)acha kabisa[emoji86]tukko kwenye mpango wa kurekebisha hiyo kona. Vidal kashindwa kazi. tutakuwa kama katyusha kwenye offensive, unazipata katyusha?
![]()
![]()
Kocha pia hakumtaka Alves,Barca walikuwa na uwezo wa kumuongezea mkataba,Kocha aliamini kuwa Sergi Roberto ni mbadala sahihi wa Alves kitu ambacho si kweli,Barca wakitupwa nje...kocha bye bye.Tatizo lako wewe unajifanya unaijua sana FC Barcelona, kumbe hujui lolote .. Embu thibitisha kama kweli Dani Alves aliuzwa kama uzi wako unavyodai!
Kwa taarifa yako tu " Dani Alves hakuuzwa bali aliamua kuondoka mwenyewe baada ya kumaliza mkataba wake".
Mkuu mapungufu ya barca yapo tangu msimu ulipoanzaNAWAONA NAWAONA PSG,Kiufundi mapunguzu ya barca aka 4G ndio yameonekana jana sio unacheza na La Palmas unawafunga 5 halafu unajisifu.
Kimpempe,Rabiot,Draxler,Matuidi...nk jana wamewaonyesha mpira wa kazi,Ila mashabiki wa Barca watabaki kusema Timu yao ni Nzuri
Na wasiwasi pia na uwezo Wa Enrique hana plan B na mbinu zake hapana anabebwa na uwezo binafsi wa wachezajii.
S.roberty hakua mbadala...huyu n kiungo mkabaj na ndo maana yuko very slow...mbadala wake alikua Alex vidal...lakn cha ajabu akawa anamuweka bench...hyo ndo hatar yetu... Kosa kubwa kabsa walilo lifanya barca n kumuuza Thiago Alcantara.. Bila mbadala....wananunua mtu kama Gomez...daah hata siamn tena Katka tactic za Enrique... huyu jamaa n boya sana...kama mourihno tuKocha pia hakumtaka Alves,Barca walikuwa na uwezo wa kumuongezea mkataba,Kocha aliamini kuwa Sergi Roberto ni mbadala sahihi wa Alves kitu ambacho si kweli,Barca wakitupwa nje...kocha bye bye.
kwan ye anakupenda?Siwapend hasa Mes
Vipi mechi waliyokula 4. Iniesta hakuwepo?Kwa mtu anaefatilia Barcelona kila mechi lazima utajua sergi roberto ni kati ya wachezaji wanao cheza vizuri sana msimu huu. Barca hawana tatizo la beki namba 2.ila tatizo la barca ni midfield hasa asipokuwepo iniesta. Mech nyingi midfield ya barca inazidiwa sana, mpira ukifika kwa messi au neymar ndo team inaanza kucheza vizuri.
Disaster
Hii sio Barca [emoji23][emoji23][emoji23]