Kosa la kumuuza Dani Alves bila kutafuta mbadala wake

Ili tuondoe sintofahamu itapendeza kama utataja timu unayoshabikia ili tuende sawa.. Binafsi naamini katika SIMBA SC (Taifa Kubwa) & FC Barcelona..
Yanga&Manchester utd ziko damuni

Nazipenda German(Bayern Munchen)
Italia(Juventus)
Spain(Barcelona)

reference Man utd vs Barcelona pale Ot Scholes anafunga goli la maana iyo ni baada ya draw ya 0-0 Pale Camp Nou April 2008
 
Tatizo lako wewe unajifanya unaijua sana FC Barcelona, kumbe hujui lolote .. Embu thibitisha kama kweli Dani Alves aliuzwa kama uzi wako unavyodai!

Kwa taarifa yako tu " Dani Alves hakuuzwa bali aliamua kuondoka mwenyewe baada ya kumaliza mkataba wake".
Mkamchukur sergi aurier wa PSG
 
thanks kwa correction Ndugu,sijui lolote ok njoo wewe mwenye kujua umwagw vitu nahisi hata spelling za neno Barcelona nimekosea.

Una hisa pale nini Ndugu?
Kwani ukipenda timu lazima uwe na hisa ......
 
Tatizo lako wewe unajifanya unaijua sana FC Barcelona, kumbe hujui lolote .. Embu thibitisha kama kweli Dani Alves aliuzwa kama uzi wako unavyodai!

Kwa taarifa yako tu " Dani Alves hakuuzwa bali aliamua kuondoka mwenyewe baada ya kumaliza mkataba wake".[/QUOl
Lakini angepewa mkataba hata wa mwaka asingekataa...
 
tukko kwenye mpango wa kurekebisha hiyo kona. Vidal kashindwa kazi. tutakuwa kama katyusha kwenye offensive, unazipata katyusha?

icm72571.jpg
razzika.jpg
Hicho cha juu nakikubali sana kitendea kazi cha maana sana ( 45 barow)acha kabisa[emoji86]
 
Kwa mtu anaefatilia Barcelona kila mechi lazima utajua sergi roberto ni kati ya wachezaji wanao cheza vizuri sana msimu huu. Barca hawana tatizo la beki namba 2.ila tatizo la barca ni midfield hasa asipokuwepo iniesta. Mech nyingi midfield ya barca inazidiwa sana, mpira ukifika kwa messi au neymar ndo team inaanza kucheza vizuri.
 
It was a very stupid decision from Enrique but vyovyote atakavyofanya Barça fans tunaitaj ushnd tu ata akiuza msn ila cha msng tushinde visca el Barça
 
NAWAONA NAWAONA PSG,Kiufundi mapunguzu ya barca aka 4G ndio yameonekana jana sio unacheza na La Palmas unawafunga 5 halafu unajisifu.
Kimpempe,Rabiot,Draxler,Matuidi...nk jana wamewaonyesha mpira wa kazi,Ila mashabiki wa Barca watabaki kusema Timu yao ni Nzuri
Na wasiwasi pia na uwezo Wa Enrique hana plan B na mbinu zake hapana anabebwa na uwezo binafsi wa wachezajii.
 
Tatizo lako wewe unajifanya unaijua sana FC Barcelona, kumbe hujui lolote .. Embu thibitisha kama kweli Dani Alves aliuzwa kama uzi wako unavyodai!

Kwa taarifa yako tu " Dani Alves hakuuzwa bali aliamua kuondoka mwenyewe baada ya kumaliza mkataba wake".
Kocha pia hakumtaka Alves,Barca walikuwa na uwezo wa kumuongezea mkataba,Kocha aliamini kuwa Sergi Roberto ni mbadala sahihi wa Alves kitu ambacho si kweli,Barca wakitupwa nje...kocha bye bye.
 
NAWAONA NAWAONA PSG,Kiufundi mapunguzu ya barca aka 4G ndio yameonekana jana sio unacheza na La Palmas unawafunga 5 halafu unajisifu.
Kimpempe,Rabiot,Draxler,Matuidi...nk jana wamewaonyesha mpira wa kazi,Ila mashabiki wa Barca watabaki kusema Timu yao ni Nzuri
Na wasiwasi pia na uwezo Wa Enrique hana plan B na mbinu zake hapana anabebwa na uwezo binafsi wa wachezajii.
Mkuu mapungufu ya barca yapo tangu msimu ulipoanza
 
Kocha pia hakumtaka Alves,Barca walikuwa na uwezo wa kumuongezea mkataba,Kocha aliamini kuwa Sergi Roberto ni mbadala sahihi wa Alves kitu ambacho si kweli,Barca wakitupwa nje...kocha bye bye.
S.roberty hakua mbadala...huyu n kiungo mkabaj na ndo maana yuko very slow...mbadala wake alikua Alex vidal...lakn cha ajabu akawa anamuweka bench...hyo ndo hatar yetu... Kosa kubwa kabsa walilo lifanya barca n kumuuza Thiago Alcantara.. Bila mbadala....wananunua mtu kama Gomez...daah hata siamn tena Katka tactic za Enrique... huyu jamaa n boya sana...kama mourihno tu
 
Jana alisema alivyoona wamezidiwa akatoka kwenye 4-3-3 akatumia 4-2-3-1 ila haikusaidia
 
Kwa mtu anaefatilia Barcelona kila mechi lazima utajua sergi roberto ni kati ya wachezaji wanao cheza vizuri sana msimu huu. Barca hawana tatizo la beki namba 2.ila tatizo la barca ni midfield hasa asipokuwepo iniesta. Mech nyingi midfield ya barca inazidiwa sana, mpira ukifika kwa messi au neymar ndo team inaanza kucheza vizuri.
Vipi mechi waliyokula 4. Iniesta hakuwepo?
 
Back
Top Bottom