Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
mpaka na mtandao wataenda ofisini kwao kupekuaLazima upekuzi ufanyike kwa sababu wao hawawezi kufahamu ni vifaa vingapi vya ki elektroniki ulivyo navyo unavyotumia kufanya usambazaji huo. π€π
Hilo haliwezekani zaidi ni kuwa wataku report tu kwa huo mtandao husika.mpaka na mtandao wataenda ofisini kwao kupekua
Sahihi yaweza kuwa imetumika komputa ya mezani au laptop nk si lazima iwe simu yenyewe tuLazima upekuzi ufanyike kwa sababu wao hawawezi kufahamu ni vifaa vingapi vya ki elektroniki ulivyo navyo unavyotumia kKuufanya usambazaji huo. π€π
kilichotumika sio kosa ila kichosambaza ni mtandao na muhusikaSahihi yaweza kuwa imetumika komputa ya mezani au laptop nk si lazima iwe simu yenyewe tu
Exactly, lazima upekuzi ufanyike kivyovyote vile..!!Sahihi yaweza kuwa imetumika komputa ya mezani au laptop nk si lazima iwe simu yenyewe tu