umefanya kitu ila hujakusudia kufanya hicho kitu, je ni haki kushitakiwa? mwanao akimwaga maji bila kukusudia je utampa adhabu?
nime reason hai make sense, kama ina make sense kwako niambie sijaja kubishana
Kwanza unatakiwa kujua kwamba kuua ni kosa la jinai.Zipo aina mbili za kuua.
(1)Kuuwa bila kukusudia na
(2)Kuua kwa kukusudia
Kwenye hii ya kwanza ya kuua bila kukusudia yani "Manslaughter"hapa muuaji anakuwa amefanya tendo la kuua tu lakini hakuwa na nia ya kuua yani tunasema kuna actus reus lakini hamba mensrea..lile tendo la kuua lipo lakini ile nia ovu ya kuua haikuwepo..na ndio maana hata adhabu ya kuua bila kukusudia inatofautiana na adhabu ya kuua kwa kukusudia!!
labda ungenitolea mfano tutaelewana vizuri, mfano labda mimi nimemsukuma mtu (kwenye ugomvi wa mdogo kawaida kabisa) alafu akaanguka bahati mbaya akafa vp hapo nitashtakiwa kwa kuua pia, labda kwa nini wasinishtaki kwa kosa la kumsukuma?
Kwanza unatakiwa kujua kwamba kuua ni kosa la jinai.Zipo aina mbili za kuua.
(1)Kuuwa bila kukusudia na
(2)Kuua kwa kukusudia
Kwenye hii ya kwanza ya kuua bila kukusudia yani "Manslaughter"hapa muuaji anakuwa amefanya tendo la kuua tu lakini hakuwa na nia ya kuua yani tunasema kuna actus reus lakini hamba mensrea..lile tendo la kuua lipo lakini ile nia ovu ya kuua haikuwepo..na ndio maana hata adhabu ya kuua bila kukusudia inatofautiana na adhabu ya kuua kwa kukusudia!!
nilipaswa kuulizaje?
noted...
bofya hapa SHERIA TANZANIAKuna kesi nasikia mtu anashitakiwa kwa kosa la kuua bila kukusudia.
Hii imekaaje maana kama hajakusudia vp liwe ni kosa tena la kuua?
Kwanza unatakiwa kujua kwamba kuua ni kosa la jinai.Zipo aina mbili za kuua.
(1)Kuuwa bila kukusudia na
(2)Kuua kwa kukusudia
Kwenye hii ya kwanza ya kuua bila kukusudia yani "Manslaughter"hapa muuaji anakuwa amefanya tendo la kuua tu lakini hakuwa na nia ya kuua yani tunasema kuna actus reus lakini hamba mensrea..lile tendo la kuua lipo lakini ile nia ovu ya kuua haikuwepo..na ndio maana hata adhabu ya kuua bila kukusudia inatofautiana na adhabu ya kuua kwa kukusudia!!
Kuna kesi nasikia mtu anashitakiwa kwa kosa la kuua bila kukusudia.
Hii imekaaje maana kama hajakusudia vp liwe ni kosa tena la kuua?
Yaani umeshasema ni kosa la kuua bila kukusudia...hebu tuliza kichwa kidogo mkuu kabla ya kuandika heading