Kosa la kuua bila kukusudia nalo ni kosa?

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Kuna kesi nasikia mtu anashitakiwa kwa kosa la kuua bila kukusudia.

Hii imekaaje maana kama hajakusudia vp liwe ni kosa tena la kuua?
 
Kosa la kuua bila kukusudia linakuwaje sio kosa?

umefanya kitu ila hujakusudia kufanya hicho kitu, je ni haki kushitakiwa? mwanao akimwaga maji bila kukusudia je utampa adhabu?
 
Umejiandaa kuja kubishana au umekuja kuuliza swali upate majibu??
 
nime reason hai make sense, kama ina make sense kwako niambie sijaja kubishana

Kwanza unatakiwa kujua kwamba kuua ni kosa la jinai.Zipo aina mbili za kuua.

(1)Kuuwa bila kukusudia na
(2)Kuua kwa kukusudia

Kwenye hii ya kwanza ya kuua bila kukusudia yani "Manslaughter"hapa muuaji anakuwa amefanya tendo la kuua tu lakini hakuwa na nia ya kuua yani tunasema kuna actus reus lakini hamba mensrea..lile tendo la kuua lipo lakini ile nia ovu ya kuua haikuwepo..na ndio maana hata adhabu ya kuua bila kukusudia inatofautiana na adhabu ya kuua kwa kukusudia!!
 
labda ungenitolea mfano tutaelewana vizuri, mfano labda mimi nimemsukuma mtu (kwenye ugomvi wa mdogo kawaida kabisa) alafu akaanguka bahati mbaya akafa vp hapo nitashtakiwa kwa kuua pia, labda kwa nini wasinishtaki kwa kosa la kumsukuma?
 
Utashtakiwa kwa kosa la kuua kwasababu wewe ndio uliyesababisha kifo..kitendo chako cha kumsukuma ndio kimemuua..bila wewe kumsukuma angekufa??
 
Utashtakiwa kwa kosa la kuua kwasababu wewe ndio uliyesababisha kifo..kitendo chako cha kumsukuma ndio kimemuua..

duh, na adhabu zake huwa ni kali kiasi gani?
 
Kwanza unatakiwa kujua kwamba kuua ni kosa la jinai.Zipo aina mbili za kuua.

(1)Kuuwa bila kukusudia na
(2)Kuua kwa kukusudia

Kwenye hii ya kwanza ya kuua bila kukusudia yani "Manslaughter"hapa muuaji anakuwa amefanya tendo la kuua tu lakini hakuwa na nia ya kuua yani tunasema kuna actus reus lakini hamba mensrea..lile tendo la kuua lipo lakini ile nia ovu ya kuua haikuwepo..na ndio maana hata adhabu ya kuua bila kukusudia inatofautiana na adhabu ya kuua kwa kukusudia!!

Je, Ikiwa Kuua Ni Kosa La Jinai Na Kisheria Halina DHAMANA!! Je, Vp Kuhusu Aliyeua Kwa Kutokukusudia!! Ana Haki Ya KUPATA DHAMANA!! Maana Tunaona Adhabu Zao Ni TOFAUTI!! Aliyekusudia Anaweza Kuhukumiwa Kifo Au Kifungo Cha MAISHA Na Asiyekusudia Anaweza Kufungwa MIAKA 5-7!!! Je, DHAMANA Vp Kwa Ambaye Hakukusudia Kuua!!??
 
Mbona Swali Langu Mkuu Umelikaushia!!!?? Maana Nimeona Kuna Watuhumiwa Walipewa DHAMANA, Ditopile Mzuzuri Na Elizabeth Michael (LULU) Huku Wengine Wengi Wakisota Mahabusu Miaka Kibao!!! Hii Imekaa Vipi!!?
 
Kwanza unatakiwa kujua kwamba kuua ni kosa la jinai.Zipo aina mbili za kuua.

(1)Kuuwa bila kukusudia na
(2)Kuua kwa kukusudia

Kwenye hii ya kwanza ya kuua bila kukusudia yani "Manslaughter"hapa muuaji anakuwa amefanya tendo la kuua tu lakini hakuwa na nia ya kuua yani tunasema kuna actus reus lakini hamba mensrea..lile tendo la kuua lipo lakini ile nia ovu ya kuua haikuwepo..na ndio maana hata adhabu ya kuua bila kukusudia inatofautiana na adhabu ya kuua kwa kukusudia!!

Mkuu mimi ninandugu yangu karusha sahani ukutani, kipande cha sahani (ya udongo) kikamkata mkewe usoni na kavuja damu nyingi sana. Sasa hivi bado jamaa anasota ndani bila zamana.

Swali: 1. Je jamaa anawezakufungwa?
2. Kwa bahati mbaya mkewe IKITOKEA kafa, jamaa hukumu yake itakuwaje?

cc lukesam Petro E. Mselewa Wambandwa kabombe Bukyanagandi
 
Kuna kesi nasikia mtu anashitakiwa kwa kosa la kuua bila kukusudia.

Hii imekaaje maana kama hajakusudia vp liwe ni kosa tena la kuua?

Yaani umeshasema ni kosa la kuua bila kukusudia...hebu tuliza kichwa kidogo mkuu kabla ya kuandika heading
 
Back
Top Bottom