Ulitafakari kwa makini baadhi ya sentwsi na sababu za Lissu kuamua kuachana na umakamu hoja ya msingi kaificha.
Lakini ukweli uliojificha ni hasira zake dhidi analoamini lina kiburi cha fedha za Abdul na mama yake kutaka kumpora cheo ndani ya chama. Lissu aliamini kabisa akishindana na Wenje wajumbe watapiga kura pacha kwa maana kwa Mbowe na Wenje na kamati Yao ya kampeni itakuwa moja.
Uamuzi wa Lissu ulikuwa wa hasira kwa mwenyekiti wake kwani aliamini kabisa kuwa Wenje ana baraka za Mbowe juu ya uamuzi wake kugombea umakamu.
Kitu ninachokiona kama Lissu atamshinda au Mbowe ataamua kutogombea basi Wenje hatakuwa makamu kwani Hawa watu wawili hawataweza fanya kazi pamoja.
Tutarajie kama Mbowe ataacha kuchukua fomu ni lazima na Wenje anitoe.