Kosa la mwaka 1960-1975 linajirudia mwaka 2015

Suala la uvivu wa kusoma ni tatizo lako binafsi labda na familia yako huko. Tusio wavivu wa kusoma tumemwelewa mleta mada.

Sasa nani haja elewa? halafu familia yangu inaingiaje hapa? mnakunywa viroba usiku kucha halafu una amkia supu ya ngozi ya mbuzi lazima akili idatuke tu!
 
Labda umemuelewa wewe na familia yako, kaandika nini sasa zaidi ya stori za Shigongo.

Kama Dr.Slaa anasema aliweza kukusanya maoni ya katiba lori sita ukimpa miaka 10 si atakusanya kontena milioni 200 za maoni.

Wakati wa kampeni za urais mwaka 2000 tulimsikia Dr.Slaa akisema watanzania wakiichagua Chadema ndani siku 90 tu wataandika katiba mpya.

Nyie endeleeni na porojo zenu JK anaondoka madarakani anatuachia katiba mpya.
 
Mleta mada kawandanganya sana kwenye maelezo yake wameshindwa hata kuhoji.
 
Mkuu pokea pongez nying toka kwangu.unastahli kua memba jf

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
[h=1]Yericko Nyerere
user-offline.png

Banned
verified.png
[/h]
 
Hongera ndugu kwa makala ya kizalendo. Kubwa sasa kwenye katiba sio muda ni kuheshimu mawazo ya watanzania. Watu waache ubinafsi wao, waione Tanzania ni muhimu zaidi ya vyama vyao. Waelewe kuwa mtu mambo yakienda tofauti ndani ya chama mtu anaweza kijiunga na chama kingine lakini Tanzania haina mbadala. Maoni ya wananchi yaheshimimiwe tupate katiba ya watanzania.
 
Labda umemuelewa wewe na familia yako, kaandika nini sasa zaidi ya stori za Shigongo.

Kama Dr.Slaa anasema aliweza kukusanya maoni ya katiba lori sita ukimpa miaka 10 si atakusanya kontena milioni 200 za maoni.

Wakati wa kampeni za urais mwaka 2000 tulimsikia Dr.Slaa akisema watanzania wakiichagua Chadema ndani siku 90 tu wataandika katiba mpya.

Nyie endeleeni na porojo zenu JK anaondoka madarakani anatuachia katiba mpya.
Mkuu hapo kwenye red nimepapenda.
 
Kwa nyie kizazi cha mulugo lazima umuone mkali,hiyo ni historia ya kawaida mnoo hata alie komea elimu ya std 7 mwaka 2000 kurudi nyuma anaijua vyema.....after all mtoa mada ametumia maneno mengi sanaa ambayo hayana maana yoyote wakati ukisoma paragraph ya kwanza tu unajua makala nzima inako elekea na inalenga kitu gani,be brief kuwasaidia wavivu wa kusoma.

Ni jambo zuri kama kweli umeweza kusoma fungu la kwanza tu la makala hii kisha ukawa tayari umeshajua mpaka mwisho wake,

Jambo muhimu ni kuitambua mantiki ya makala haya,

Mawazo yako ni muhimu katika hilo
 
Labda umemuelewa wewe na familia yako, kaandika nini sasa zaidi ya stori za Shigongo.

Kama Dr.Slaa anasema aliweza kukusanya maoni ya katiba lori sita ukimpa miaka 10 si atakusanya kontena milioni 200 za maoni.

Wakati wa kampeni za urais mwaka 2000 tulimsikia Dr.Slaa akisema watanzania wakiichagua Chadema ndani siku 90 tu wataandika katiba mpya.

Nyie endeleeni na porojo zenu JK anaondoka madarakani anatuachia katiba mpya.

Kwanza hujambo ustadhi wangu Ritz,

Niwie radhi jana kwakutumia maneno makali kwenye kijiwe chetu cha kahawa maalim,

Turudi kwenye mada:

Rais Jakaya Kikwete kumaliza muda wake na kutuachia "Katiba Mpya" hilo ni jambo moja ambalo mimi sina tatizo nalo,

Lengo la andiko langu ni uwepo wa Katiba ya Watanzania wote itakayodumu miaka 100 ama zidi huko mbeleni,

Nimependekeza mchakato uliopo uendelee kwakuruhusu mijadara na mawazo tofauti zaidi, uharaka wa kupata katiba kwaajili ya 2015 kutaturudisha kwenye kosa la Afrika 1960,

Zaidi nimependekeza yafanyike marekebisho kwenye katiba iliyopo ili ituongoze kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 kama lengo mahususi la kasi hii ya wanasiasa
 
Ni jambo zuri kama kweli umeweza kusoma fungu la kwanza tu la makala hii kisha ukawa tayari umeshajua mpaka mwisho wake,

Jambo muhimu ni kuitambua mantiki ya makala haya,

Mawazo yako ni muhimu katika hilo

Umeshaachiwa Ban ee.
 
Hongera ndugu kwa makala ya kizalendo. Kubwa sasa kwenye katiba sio muda ni kuheshimu mawazo ya watanzania. Watu waache ubinafsi wao, waione Tanzania ni muhimu zaidi ya vyama vyao. Waelewe kuwa mtu mambo yakienda tofauti ndani ya chama mtu anaweza kijiunga na chama kingine lakini Tanzania haina mbadala. Maoni ya wananchi yaheshimimiwe tupate katiba ya watanzania.

Asante sana mkuu, kwapamoja tutapata katiba mpya ya Watanzania
 
Kwanza pole kwa kutojua historia. Staki nijikite zaidi kuelezea madhumun na madhara ya ukolon kwa nchi za Afrika, lakin napenda nikukumbushe tu kwamba wakolon waliingia Afrika kwa lengo kubwa la kuchukua raslimal zetu.(soma kitabu "HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA" kilchoandikwa na Water Rodney). Unachokiamin wewe ni mtazamo wa kimagharibi(Eurocentric view, which claim that colonialism was there as the civilisation mission) ambao ni mahususi kwa kuhalalisha ukoloni na kufunika maovu walokuwa wakitendewa babu zetu. Kuhusu swala la katba unamaanisha kwamba kwa kuwa JK hakuwah kuwa na wazo hilo watz hatukutakiwa kuanzisha mchakato wa kupata katiba yenye kuwakomboa hasa wanyonge? Umeniskitsha sana ndugu.

mkuu ukisoma andiko fulani, ni vema kurudia tena baadhi ya aya ili kujiridhisha kama umeelewa vyema!
Naamini utajirekebisha!

Asante!
 
Umeandika vyema sana, na mimi nakuunga mkono hata ichukue miaka 10 ili tupate katiba bora ya jamii ijayo, cha muhimu kwa sasa ni kuangalia tume huru ya uchaguzi na sheria inayohusu uchaguzi, hicho ni kipengele ambacho tunahitaji kirekebishwe kabla ya uchaguzi mkuu, katiba ni kitu kizito zaidi ya uchaguzi wa kuwachagua wanasiasa.
 
Mwenzetu huyo huenda anakipaji maalumu,

Akiona sentensi moja tu basi huelewa mada nzima,

Sio kosa lake ndio kizazi cha bongo movies
 
Umeandika vyema sana, na mimi nakuunga mkono hata ichukue miaka 10 ili tupate katiba bora ya jamii ijayo, cha muhimu kwa sasa ni kuangalia tume huru ya uchaguzi na sheria inayohusu uchaguzi, hicho ni kipengele ambacho tunahitaji kirekebishwe kabla ya uchaguzi mkuu, katiba ni kitu kizito zaidi ya uchaguzi wa kuwachagua wanasiasa.

Asante sana mpiganaji,

Karibu sana jukwaani
 
Nimekuelewa vizuri sana j.nyerere kwa mtazamo wako wa ndani.tuwasubiri lumumba team
 
Mbona we hujahoji kitu.? Wenzio wameelewa inatosha.
Wewe kweli kobe, umeelewa nini? Kweli unaamini wakati tunapata uhuru wasomi walikuwa wawili tu?
 
Back
Top Bottom