Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Suala la uvivu wa kusoma ni tatizo lako binafsi labda na familia yako huko. Tusio wavivu wa kusoma tumemwelewa mleta mada.
Labda umemuelewa wewe na familia yako, kaandika nini sasa zaidi ya stori za Shigongo.Suala la uvivu wa kusoma ni tatizo lako binafsi labda na familia yako huko. Tusio wavivu wa kusoma tumemwelewa mleta mada.
Mleta mada kawandanganya sana kwenye maelezo yake wameshindwa hata kuhoji.Sasa nani haja elewa? halafu familia yangu inaingiaje hapa? mnakunywa viroba usiku kucha halafu una amkia supu ya ngozi ya mbuzi lazima akili idatuke tu!
Mkuu hapo kwenye red nimepapenda.Labda umemuelewa wewe na familia yako, kaandika nini sasa zaidi ya stori za Shigongo.
Kama Dr.Slaa anasema aliweza kukusanya maoni ya katiba lori sita ukimpa miaka 10 si atakusanya kontena milioni 200 za maoni.
Wakati wa kampeni za urais mwaka 2000 tulimsikia Dr.Slaa akisema watanzania wakiichagua Chadema ndani siku 90 tu wataandika katiba mpya.
Nyie endeleeni na porojo zenu JK anaondoka madarakani anatuachia katiba mpya.
Kwa nyie kizazi cha mulugo lazima umuone mkali,hiyo ni historia ya kawaida mnoo hata alie komea elimu ya std 7 mwaka 2000 kurudi nyuma anaijua vyema.....after all mtoa mada ametumia maneno mengi sanaa ambayo hayana maana yoyote wakati ukisoma paragraph ya kwanza tu unajua makala nzima inako elekea na inalenga kitu gani,be brief kuwasaidia wavivu wa kusoma.
Labda umemuelewa wewe na familia yako, kaandika nini sasa zaidi ya stori za Shigongo.
Kama Dr.Slaa anasema aliweza kukusanya maoni ya katiba lori sita ukimpa miaka 10 si atakusanya kontena milioni 200 za maoni.
Wakati wa kampeni za urais mwaka 2000 tulimsikia Dr.Slaa akisema watanzania wakiichagua Chadema ndani siku 90 tu wataandika katiba mpya.
Nyie endeleeni na porojo zenu JK anaondoka madarakani anatuachia katiba mpya.
Mleta mada kawandanganya sana kwenye maelezo yake wameshindwa hata kuhoji.
Ni jambo zuri kama kweli umeweza kusoma fungu la kwanza tu la makala hii kisha ukawa tayari umeshajua mpaka mwisho wake,
Jambo muhimu ni kuitambua mantiki ya makala haya,
Mawazo yako ni muhimu katika hilo
Hongera ndugu kwa makala ya kizalendo. Kubwa sasa kwenye katiba sio muda ni kuheshimu mawazo ya watanzania. Watu waache ubinafsi wao, waione Tanzania ni muhimu zaidi ya vyama vyao. Waelewe kuwa mtu mambo yakienda tofauti ndani ya chama mtu anaweza kijiunga na chama kingine lakini Tanzania haina mbadala. Maoni ya wananchi yaheshimimiwe tupate katiba ya watanzania.
Umeshaachiwa Ban ee.
Mbona we hujahoji kitu.? Wenzio wameelewa inatosha.
Kwanza pole kwa kutojua historia. Staki nijikite zaidi kuelezea madhumun na madhara ya ukolon kwa nchi za Afrika, lakin napenda nikukumbushe tu kwamba wakolon waliingia Afrika kwa lengo kubwa la kuchukua raslimal zetu.(soma kitabu "HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA" kilchoandikwa na Water Rodney). Unachokiamin wewe ni mtazamo wa kimagharibi(Eurocentric view, which claim that colonialism was there as the civilisation mission) ambao ni mahususi kwa kuhalalisha ukoloni na kufunika maovu walokuwa wakitendewa babu zetu. Kuhusu swala la katba unamaanisha kwamba kwa kuwa JK hakuwah kuwa na wazo hilo watz hatukutakiwa kuanzisha mchakato wa kupata katiba yenye kuwakomboa hasa wanyonge? Umeniskitsha sana ndugu.
mkuu ukisoma andiko fulani, ni vema kurudia tena baadhi ya aya ili kujiridhisha kama umeelewa vyema!
Naamini utajirekebisha!
Asante!
Umeandika vyema sana, na mimi nakuunga mkono hata ichukue miaka 10 ili tupate katiba bora ya jamii ijayo, cha muhimu kwa sasa ni kuangalia tume huru ya uchaguzi na sheria inayohusu uchaguzi, hicho ni kipengele ambacho tunahitaji kirekebishwe kabla ya uchaguzi mkuu, katiba ni kitu kizito zaidi ya uchaguzi wa kuwachagua wanasiasa.
Wewe kweli kobe, umeelewa nini? Kweli unaamini wakati tunapata uhuru wasomi walikuwa wawili tu?Mbona we hujahoji kitu.? Wenzio wameelewa inatosha.